Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

Mwaka mmoja tu, matumizi kodi za umma hovyo, harufu ya ufisadi, Tozo lukuki kwa wananchi maskini. Je, baada ya miaka mitatu?

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2021
Posts
1,242
Reaction score
4,813
Hapa mnatakiwa mjiulize kwa kutumia akili sana. Kwamba sasa mnaekea wapi watanzania?

Tozo kibao kila kukicha. Matumizi ya ajabu ajabu tu. Kwanu Uhuru Kenyatta hana wajomba huko Usa?

Vipi kuhusu mikataba ya kijanja wizara ya nishati na madini. Mahindra tech, Lindi Lng.

Huu ndio mwanzo tu...
 
Baada ya miaka mitatu tutakuwa kama uarabuni alikokuwa ameenda mama. We subiri tu uone!
 
Mamlaka zimeagizwa zisikusanye kodi.

Serikali ni kama ipo likizo ya ukusanyaji kodi kwa Wafanyabiashara wakubwa.

Imeamua gap hili lizibwe kwa kuongeza tozo na mikopo.
 
Back
Top Bottom