Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi watu wa mungu


Kama kichwa cha habar kinavyojieleza hapo juu

Toka niachane na demu wangu mwaka jana mwez kama huu nimekuwa nikisaka mtoto mwingine wa kuwa naye bila mafanikio

Yaan kila siku natafuta demu lakin wap, kila ninaye mtongoza ananitosa na kunikataa

Yaan had namkumbuka yule demu wangu lakin kila nikipiga cm haipatikan

Nakumbuka mimi ndo nilikuwa chanzo cha kuachana baada ya kuanza kumfanyia mzalau na aliponambia nilimwambia kama vp tuachane wasichana mbona wengi sana, lakin sasa natafuta bila mafanikio


Mimi nahis huyu demu aliniloga na kunitupia mikos, kwanini sipat demu hata mwenye sura mbaya mbaya hata kama akiwa choka mbaya na kapinda mgongo

Nifanyeje nipate demu wazee

Mbona nina maisha mazur sana ninakagal ingawa ni kadogo lakin kananisaidia kwa kupigia misele

Ushaul wenu wakuu


LONDON BABY
 
Chanda chema hivishwa pete...
Ni wakati wa kuwasikiliza wao wanataka nini kutoka kwako...

Cc: mahondaw
 
Utakuwa mharibifu wewe oa achana na mademu watakupunguzia pesa tu oa jenga familia bora na si bora familia
 
lipia tangazo na kila la kheri yatakayojiri pm kwak
 
Umezunguka sana mkuu,si ungesema tu direct kama unatafuta demu humu ndani na ako kandinga kako
 
Usichague sana maana haujui kuumba. Jilipue bila kuchagua hauwezi kukosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…