Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Tatizo unawatisha kwa mada zako za kupanda fisi na kumiliki misukule. Utaendelea kuwaona fb labda utafute guchawi gwenzako.
 
Tuliza ball, Mungu anania njema na wewe. Atakupa tu mahabuba wako siku ikifika
 
Huu uz nan kaufufua nilikuwaga shausahau
 
Ulileta uzi kua wanawake wa dar hawajaribiwi ,wakitongozwa tuu wanajaa,...leo unakuja lia hupat dem...ukiwa mwongo uwe na kumbukumbu mkuu
Mkuu huwaga husahau hata kidogo
 
Uo ndyo udhaifu wa wanaume wa mikoani
Swaiba mbona kila mara unachezea ban pole sana..hehee nimekumiss uliona matus ya Man u jana...nadhan walikuchania mkeka jomonii
 
Achana na mademu tafuta mwanamke wa kuoa
 
[emoji263] [emoji263] sio chai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…