Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

Mwaka mmoja umekatika nikisaka demu bila mafanikio

"Nina kagari" ww unadharau kwa hiyo km unagari.gari si kila kitu ila amani yamoyo watu wanamigari yao hapa lakn hawana aman.

~Tubu kwa Mungu na usijikweze nyenyekea kiti cha rehema,neema ya Mungu itakufunika utapata.
Amina
 
hahahah akuloge nani laana zinakusumbua na bado utaangaika sana na wengine muachage maneno machafu achana na mtu kwa usalama c lazima umsemee mbovu
 
[emoji41]iv nafasi za kwenda jkt bado zipo au...uo mwaka mzima nazani ungekua usha maliza na mafunzo ukarudi na swagz mpyaa
 
Tafuta cha kukatia kiu wakati mekoni wanaandaa bufeti mkuu
Jifunze utamaduni wa hotelini
 
Kuna maeneo wapo kibao, yaani ukifika eneo lolote lenye duka ukakaa na kuagiza kinywaji, utawaona wanakatiza wa kutosha. Yaani hata uninyanyua mkono kama unafukuza nzi utashangaa zaidi ya watatu wako mbele yako! Kazi kwako kuwajibu!! "Kaka unasemaje?" "Umeniita mimi?"[emoji23] [emoji23]
 
Tatizo unawatisha kwa mada zako za kupanda fisi na kumiliki misukule. Utaendelea kuwaona fb labda utafute guchawi gwenzako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Beira Baby Boy: huyo jamani atakuwa alilia sana kwa uchungu kwa yale uliomfanyia hivyo bado laana yake inakuzunguka[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
Iv unaweza kulaanika kwa sitail kama ile
 
hahahah akuloge nani laana zinakusumbua na bado utaangaika sana na wengine muachage maneno machafu achana na mtu kwa usalama c lazima umsemee mbovu
Sawa mkuu kuna kitu nimejifunza sana ujue
 
Back
Top Bottom