Kingfisher
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 4,740
- 7,679
Ya kwenu Chitipa hamjadili mnaanza ya watu!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ya kwenu Chitipa hamjadili mnaanza ya watu!
Kwani umeitwa au umelazimishwa
mwachen baby wangu kikubwa pesa inatolewasio cement ,baby wako biden anazingua
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji375]Biden apunguze kukumbatia wanawake nakupenda kubusu na kushika mikono wanawake kwamuda mrefu anavowasalimia apige kazi
Kiwanja Cha 20 kwa 15Wengine tupo kiwanja hapa hapa na bado hizo ishu za Trump sijui Biden sijui approval ratings tunaona utopolo tu.
Japan, Korea na Saudi Arabia wanailipa Marekani kutoa ulinzi, Iran ni adui wa Marekani.Trump ni mwiba kwa wapenda pesa za marekani kina WHO, NATO, Japan, Korea, Saud Arabia, Iran
Sasa wewe mambo ya marekani yanakuhusu nini?Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump
Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden kakuta kila kitu,Chanjo, instruments na wamarekani washakuwa na ufahamu wa Covid-19.
Mmfumko wa bei kupindukia, mfumko wa Bei nchini marekani chini ya Biden ni mkubwa toka miaka 40 iliyopiita.
Kukumbwa na uhaba wa gesi na mafuta, Trump aliifanya marekani kuwa Energy independent, lakini Biden kahalibu zaidi, mpaka kutoa reserve ya mafuta ili kusawazisha Bei ya mafuta nchini umo.
Ameshindwa kizibiti uhamiaji, marekani chini ya Biden imeshuhudia uhamiaji haramu ukiongezeka, tofauti na kipindi Cha Trump, kitendo Biden kufungua mipaka kimewaudhi sana wamarekani.
Jinsi alivyojitoa Afghanistan ni kituko Cha karne, alisababisha vifo vya wanajeshi 13 kwa uzembe kabisa, wakati Trump alikuwa ashafanya makubaliano na Turban jinsi ya kujitoa, na katika makubaliano hayo hakuna mwanajeshi wa marekani alikufa Afghanistan ndani ya miezi 18.
Turufu waliobaki nayo Democrats ni tukio la January 06, Ila na Trump amewajibu kwa kishindo, alipokuwa Arizona, alijaza watu hadi Democrats wakapanic.
2024 Trump au Dessantis lazima mmoja atashinda uraisi
sio vizuri hivyo... jadilini basi hata ya chadema, tlp, nccr, cuf...Jadili wewe hizo takataka za CCM
Hujawa na uwezo bado kumtathmini Biden amewafanyia nini MarekaniBiden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump
Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden kakuta kila kitu,Chanjo, instruments na wamarekani washakuwa na ufahamu wa Covid-19.
Mmfumko wa bei kupindukia, mfumko wa Bei nchini marekani chini ya Biden ni mkubwa toka miaka 40 iliyopiita.
Kukumbwa na uhaba wa gesi na mafuta, Trump aliifanya marekani kuwa Energy independent, lakini Biden kahalibu zaidi, mpaka kutoa reserve ya mafuta ili kusawazisha Bei ya mafuta nchini umo.
Ameshindwa kizibiti uhamiaji, marekani chini ya Biden imeshuhudia uhamiaji haramu ukiongezeka, tofauti na kipindi Cha Trump, kitendo Biden kufungua mipaka kimewaudhi sana wamarekani.
Jinsi alivyojitoa Afghanistan ni kituko Cha karne, alisababisha vifo vya wanajeshi 13 kwa uzembe kabisa, wakati Trump alikuwa ashafanya makubaliano na Turban jinsi ya kujitoa, na katika makubaliano hayo hakuna mwanajeshi wa marekani alikufa Afghanistan ndani ya miezi 18.
Turufu waliobaki nayo Democrats ni tukio la January 06, Ila na Trump amewajibu kwa kishindo, alipokuwa Arizona, alijaza watu hadi Democrats wakapanic.
2024 Trump au Dessantis lazima mmoja atashinda uraisi
Wewe ndo useless kabisa, unajitetea kwenye Covid-19 eti ni janga, mbona Democrats walimuandama Sana Trump kuwa haja-take control ya Covid-19,,,Hujawa na uwezo bado kumtathmini Biden amewafanyia nini Marekani
Wamarekani sio kama huko kwenu Tanzania wananchi wakiona mambo hayaendi sawa huandamana kila kona lini ulishuhudia maandamano kupingwa Biden au sera yake kupingwa? Je Trump unayemsema amekuwa akikataliwa mara ngapi ngapi wakati wa urais wake?
Atapunguza vipi vifo vya Covid wakati Serikali imejitahidi mpaka kutoa malipo nadhani $100 kwa kila atakayechanja? Covid ni janga la kimataifa watu ulimwenguni wanaumiza vichwa na kila leo kuna virus vipya vinajitokeza ambapo sasa kuna Omicron., Nchi kama Russia, Germany muda huu wana record mbaya haijawahi tokea ya maambukizi ya Corona pia alaumiwe Biden??
Yaani wewe hujuwi chochote, Afghanistan ile sera ilianzishwa na Trump huyu bwana wako ya kuondoa majeshi yao ni vile ulibaki utekelezaji na baada ya Biden kuingia madarakani akamalizia hilo zoezi ambalo kuna changamoto za hapa na pale lakini ndio ilikuwa adhima ya Marekani kufanya hivyo ili kujikita zaidi kiuchumi kuliko kutumia fedha nyingi kwa ulinzi wa Afghanistan mishahara na chakula lakini watu wao mmoja mmoja wakipoteza maisha kwa mapigano ya hapa na pale na Lengo la marekani lilikuwa ni Osama bin laden ambalo wenyewe wanaona lilishatimia kitambo.
Sera ya uhamiaji haramu ya Marekani haikutungwa na Biden, Biden anaisimamia tu kama rais lazima ufahamu hilo na utekelezaji wake kuna changamoto mbali mbali ata huyo Trump alisababisha majanga makubwa marekani kwa kuzipiga marfuku nchi 8 raia wake asikanyage Marekani
Katiba na mifumo ya nchi za Marekani huwa zinaabudiwa ni kila rais anayeingia madarakani sio kama huko kwenu ukiamka Waziri huyu ameenda kutangaza hivi mara mkuu wa mkoa anataka hivi mara rais yeye anataka hivi halafu ikawa ndio sheria za nchi.
You know nothing! piriad