Mwaka mmoja wa Biden madarakani, amefeli vibaya sana

Mwaka mmoja wa Biden madarakani, amefeli vibaya sana

Biden alijinasibu na kutoa ahadi kemkemu na kumtupia lawama lukuki Trump

Ndani ya mwaka mmoja wa Biden, vifo vya Covid-19 marekani vimezidi vifo vilivyoripotiwa chini ya Trump, wakati Biden kakuta kila kitu,Chanjo, instruments na wamarekani washakuwa na ufahamu wa Covid-19.

Mmfumko wa bei kupindukia, mfumko wa Bei nchini marekani chini ya Biden ni mkubwa toka miaka 40 iliyopiita.

Kukumbwa na uhaba wa gesi na mafuta, Trump aliifanya marekani kuwa Energy independent, lakini Biden kahalibu zaidi, mpaka kutoa reserve ya mafuta ili kusawazisha Bei ya mafuta nchini umo.

Ameshindwa kizibiti uhamiaji, marekani chini ya Biden imeshuhudia uhamiaji haramu ukiongezeka, tofauti na kipindi Cha Trump, kitendo Biden kufungua mipaka kimewaudhi sana wamarekani.

Jinsi alivyojitoa Afghanistan ni kituko Cha karne, alisababisha vifo vya wanajeshi 13 kwa uzembe kabisa, wakati Trump alikuwa ashafanya makubaliano na Turban jinsi ya kujitoa, na katika makubaliano hayo hakuna mwanajeshi wa marekani alikufa Afghanistan ndani ya miezi 18.

Turufu waliobaki nayo Democrats ni tukio la January 06, Ila na Trump amewajibu kwa kishindo, alipokuwa Arizona, alijaza watu hadi Democrats wakapanic.

2024 Trump au Dessantis lazima mmoja atashinda uraisi
Nchi yako yenyewe ina mapungufu ya kutosha vipi huyaoni ama, achana na nchi zilizopiga hatua kimaendeleo na kiasi pia
 
Nchi yako yenyewe ina mapungufu ya kutosha vipi huyaoni ama, achana na nchi zilizopiga hatua kimaendeleo na kiasi pia
Nyie endelea na upuuzi wenu wa kumbambikia watu kesi, ushasikia Biden kambambikia kesi Maccanell(Senetor minority)
 
Nyie endelea na upuuzi wenu wa kumbambikia watu kesi, ushasikia Biden kambambikia kesi Maccanell(Senetor minority)
Una akili timamu wewe, huna cha kuishauri Marekani na upimbi wako huu
 
Back
Top Bottom