Mwaka mmoja wa Biden madarakani, amefeli vibaya sana

Biden apunguze kukumbatia wanawake nakupenda kubusu na kushika mikono wanawake kwamuda mrefu anavowasalimia apige kazi
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji375]
 
Sasa wewe mambo ya marekani yanakuhusu nini?
 
Hujawa na uwezo bado kumtathmini Biden amewafanyia nini Marekani

Wamarekani sio kama huko kwenu Tanzania wananchi wakiona mambo hayaendi sawa huandamana kila kona lini ulishuhudia maandamano kupingwa Biden au sera yake kupingwa? Je Trump unayemsema amekuwa akikataliwa mara ngapi ngapi wakati wa urais wake?

Atapunguza vipi vifo vya Covid wakati Serikali imejitahidi mpaka kutoa malipo nadhani $100 kwa kila atakayechanja? Covid ni janga la kimataifa watu ulimwenguni wanaumiza vichwa na kila leo kuna virus vipya vinajitokeza ambapo sasa kuna Omicron., Nchi kama Russia, Germany muda huu wana record mbaya haijawahi tokea ya maambukizi ya Corona pia alaumiwe Biden??

Yaani wewe hujuwi chochote, Afghanistan ile sera ilianzishwa na Trump huyu bwana wako ya kuondoa majeshi yao ni vile ulibaki utekelezaji na baada ya Biden kuingia madarakani akamalizia hilo zoezi ambalo kuna changamoto za hapa na pale lakini ndio ilikuwa adhima ya Marekani kufanya hivyo ili kujikita zaidi kiuchumi kuliko kutumia fedha nyingi kwa ulinzi wa Afghanistan mishahara na chakula lakini watu wao mmoja mmoja wakipoteza maisha kwa mapigano ya hapa na pale na Lengo la marekani lilikuwa ni Osama bin laden ambalo wenyewe wanaona lilishatimia kitambo.

Sera ya uhamiaji haramu ya Marekani haikutungwa na Biden, Biden anaisimamia tu kama rais lazima ufahamu hilo na utekelezaji wake kuna changamoto mbali mbali ata huyo Trump alisababisha majanga makubwa marekani kwa kuzipiga marfuku nchi 8 raia wake asikanyage Marekani

Katiba na mifumo ya nchi za Marekani huwa zinaabudiwa ni kila rais anayeingia madarakani sio kama huko kwenu ukiamka Waziri huyu ameenda kutangaza hivi mara mkuu wa mkoa anataka hivi mara rais yeye anataka hivi halafu ikawa ndio sheria za nchi.

You know nothing! piriad
 
Wewe ndo useless kabisa, unajitetea kwenye Covid-19 eti ni janga, mbona Democrats walimuandama Sana Trump kuwa haja-take control ya Covid-19,,,

Chini ya Trump America ilikuwa energy independent sahivi hapana,, Chini ya Biden Kuna inflation ya kutisha, since 40yrs ago, Kwenye Border security Trump alitisha Sana, sahv wahamiaji haramu wanaingia marekani kila siku, wamarekani wengi wamechukia Sana.

Biden alivyojiondoa Afghanistan, alijiondoa kijinga Sana, na Hilo analaumiwa every day,

Finally jamaa ameferi vibaya mno,sema fake news media kina CNN wanambeba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…