Dialogist
JF-Expert Member
- Apr 14, 2014
- 1,167
- 1,872
Nimesabukaraibu huu uziNimechaguliwa kusoma chuo nchini China kiitwacho Tianjin University na course niliyochaguliwa ni Mechanical Engineering and Automation ila wameniambia inafundishwa kwa Kichina na inabidi nisome mwaka mmoja Kichina then niendelee na masomo.
Nilikuwa nauliza inachukua muda gani kukielewa Kichina? Na mwaka huo mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikaweza kukijua na kuendelea masomo yangu?