Mwaka mmoja wa kusoma Kichina unaweza kunisaidia nikakijua na kuendelea masomo yangu?

Nimesabukaraibu huu uzi
 
Kwa kweli nisikufiche Kwa mwaka huwezi kukielewa Cha kusomea, siku ukiingia kuanza major yako darasani hautaambulia chochote zaidi ya salamu na vitu vidogovidogo.
 
Mhusika ulifanikiwa vipi kuhusu kichina,au ulikwama hukueza enda hata masomoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…