Mwaka Mmoja wa Rais Dr. Hussein Mwinyi; Kinachoendelea Zanzibar Wananchi wanashangaa

Jamani Unguja inaenda kupaa kiuchumi na itakuwa one of the best site for tourism, maana mzee baba kaamua visiwa vidogox2 karibia vyote wapewe wawekezaji wajenge mahoteli.
 
Kwa nini picha usiwe wewe?
kwa sababu mie nina utambuzi wa kina!! km gujipicha gupo kwa nini niwe kimbelembele cha kuwa picha!....dogo tumia akili kuuliza maswali usilete vijiswali vya Pemba pemba hapa!! vilivyo jaa urojo!!

kwani umewahi kula Ugali wa Ulezi/Mtama weye na nyama choma ya Mbogo??enhee!! ni jibu!
 
Bwana wako Mzungu anakupa mshikaki wa nguvu?
 
Mbona umesema mwenyewe umeolewa Na Mzungu Na anakupiga mishikaki? Jibu swali
Hivi kumbe unawasaidia mashoga wenzako kukimbia nchi kwenda kuolewa ulaya?
Umesema mwenyewe huwa mnaanzwa Na waarabu , mbona unajichanganya?
 
Rubbish,hii inaitwa sizitaki mbichi hizi 😂😂
 
Jamani Unguja inaenda kupaa kiuchumi na itakuwa one of the best site for tourism, maana mzee baba kaamua visiwa vidogox2 karibia vyote wapewe wawekezaji wajenge mahoteli.

Hata afanye vipi, Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi Na mauwaji ya watu yalifanywa Na Hakuna mtu ameshitakiwa kwa mauwaji.
Aelewe

4:93
وَمَن يَقْتُلْ مُؤْمِنًۭا مُّتَعَمِّدًۭا فَجَزَآؤُهُۥ جَهَنَّمُ خَـٰلِدًۭا فِيهَا وَغَضِبَ ٱللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُۥ وَأَعَدَّ لَهُۥ عَذَابًا عَظِيمًۭا ٩٣

And whoever kills a believer intentionally, their reward will be Hell—where they will stay indefinitely. Allah will be displeased with them, condemn them, and will prepare for them a tremendous punishment.
— Dr. Mustafa Khattab, the Clear Quran
 
kumbe unawasaidia mashoga wenzako kukimbia nchi kwenda kuolewa ulaya?
Kwa hiyo unawaonea wivu kuwa wanaenda kufaidi!! well!! njoo mme wangu hana shida atakuunganisha tu!
 
Umetukimbia sisi waarabu , umewapelekea wazungu wakutafune? Chuki zako Za utumwa hazifai Rudi tukutume utupe Mali hiyo
 
afadhali hata umejua kazi yako safi sana!

Hata afanye vipi, Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi Na mauwaji ya watu yalifanywa Na Hakuna mtu ameshitakiwa kwa mauwaji.
Aelewe

4:93
وَمَن يَقْتُلْ مُؤْمِنًۭا مُّتَعَمِّدًۭا فَجَزَآؤُهُۥ جَهَنَّمُ خَـٰلِدًۭا فِيهَا وَغَضِبَ ٱللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُۥ وَأَعَدَّ لَهُۥ عَذَابًا عَظِيمًۭا ٩٣

And whoever kills a believer intentionally, their reward will be Hell—where they will stay indefinitely. Allah will be displeased with them, condemn them, and will prepare for them a tremendous punishment.
— Dr. Mustafa Khattab, the Clear Quran
 
Kumbe umetukimbia sisi waarabu umewapelekea wazungu wakristo wenzako ?
Ndiyo!! kwa sababu nyie wenyewe mnatumiwa km mie sasa kwa nini nisiwakimbie wkt ni Wenzangu?...sasa mnalia wivu basi njooni tuungane hamtaki niwafanyeje sasa??
 
Ndiyo!! kwa sababu nyie wenyewe mnatumiwa km mie sasa kwa nini nisiwakimbie wkt ni Wenzangu?...sasa mnalia wivu basi njooni tuungane hamtaki niwafanyeje sasa??
Hata afanye vipi, Mwinyi alikuwa Waziri wa Ulinzi Na mauwaji ya watu yalifanywa Na Hakuna mtu ameshitakiwa kwa mauwaji.
Aelewe

4:93
وَمَن يَقْتُلْ مُؤْمِنًۭا مُّتَعَمِّدًۭا فَجَزَآؤُهُۥ جَهَنَّمُ خَـٰلِدًۭا فِيهَا وَغَضِبَ ٱللَّهُ عَلَيْهِ وَلَعَنَهُۥ وَأَعَدَّ لَهُۥ عَذَابًا عَظِيمًۭا ٩٣

And whoever kills a believer intentionally, their reward will be Hell—where they will stay indefinitely. Allah will be displeased with them, condemn them, and will prepare for them a tremendous punishment.
— Dr. Mustafa Khattab, the Clear Quran
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…