TODAYS
JF-Expert Member
- Apr 30, 2014
- 14,747
- 24,250
Happy New Year!.
Hiyo ☝🏾 ndiyo salamu inayotolewa na kila mmoja kutakiana amani, furaha na shangwe kwa kuingia mwaka namba mwingine.
Ilikuwa kama jambo la kawaida tu kupitia pitia misahafu na zamu ya mwezi huu unaopita ilikuwa ni Bibilia na nilibahatika kusoma kitabu cha Mwanzo eneo hili hapa 1:1-31.
Kitu cha ajabu nilichosoma ni ikawa jioni ikawa asubuhi siku ya kwanza, baada ya kufuatilia nikagundua siku iliisha jioni pale jua linapozama na hii nimepata kutoka kwenye misahafu miwili Bibilia na Quran ya kwamba jua linapozama siku inakuwa imekwisha.
Sasa tunakuja kwenye maisha ya kawaida wengi tunasubiri saa 05:59 usiku kushangilia inakuwaje hapo badala ya saa 12:29 jua linapozama?.
Viongozi wa Dini Duniani wa madhehebu yote wanaendelea kukengeuka, wanaogopa hama wanahibiri uongo ambao sijui madhara yake ni yepi!.
Maana ktk uhalisia wa imani binadamu yeyote ana hofu na Mwenyaazi Mungu mja wa yote ila kwa mafundisho yao hawana hofu.
Je nini kinasababisha binadamu tushindwe kusimamia ukweli wa Mungu au asili yetu? Tukumbuke miaka ile ya giza walikuwa wakiishi kwa kutizama kuzama kwa jua.
Nani mkweli Mungu au Binadamu, karibu kwa mjadara.