Mwaka mpya umekukuta wapi na ukifanya nini?

La Quica

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2017
Posts
1,009
Reaction score
2,315
Heri ya mwaka mpya 2025.

Nimejiuliza ni namna gani kila mmoja wetu alivyoupokea mwaka nikagundua kila mmoja atakuwa ameupokea akiwa katika situation fulani. Kuna waliokuwa kwenye bata, wengine nyumbani na familia, wengine hospital, wengine safarini, wengine kazini n.k

Hebu share na sisi hapa tujue na kupata experience ya namna ulivyoupokea mwaka mpya 2025.

Mimi binafsi nimeupokea mwaka nikiwa kazini. Nilikuwa kwenye machine hii hapa chini niki load mzigo kwenye trucks katika harakati za uzalishaji.
images (1).jpeg

Nawatakia kila la kheri kwenye huu mwaka unaonza leo. Ukawe wa mafanikio kwa kila mmoja wetu.

Maghayo Dr Lizzy Ghayo TheMongo Barbarian Deeboyfrexh mshamba_hachekwi Lamomy ephen_ min -me Fake P Leejay49 Evelyn Salt
Mideko Mamndenyi Mshana Jr Kiranga mzabzab
Joanah Joannah To yeye Nikifa MkeWangu Asiolewe BlueIvy Hannah monde arabe nzalendo makaveli10 Kasie Darlin Carleen Inside10
 
Duh mpaka muda huu?
Gesti zimejaa. Hapa mtaani ni milio ya vishindo vya vitanda, kwichi!kwichi!kwichi!kwichi!. Huku ni milio ya nyamanyama ya makalio zikigongana pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!

Jamaa yangu anauza pharmacy anasema kauza condom za laki 2 kwa usiku mmoja.

P2 zimenunuliwa mno. Na hapo bado kuuzwa azuma
 
Duh aseee hiyo biashara ya pharmacy ingekuwa part time ningeifanya mwisho wa mwaka huu
 
Pambee tuu😃😃
 
Duh aseee hiyo biashara ya pharmacy ingekuwa part time ningeifanya mwisho wa mwaka huu
Jamaa mwenye pharmacy anaomba watu waambukizane magonjwa ya std na uti sugu. Anasema season ya uasherati huwa kuna hela mno. Hakosagi laki tano mpaka 1.2m kwa season za kukulana. Anasema hapo anasubiria season nyingine ya kukulana ambayo ni valentine na ile wiki ya pasaka baada ya hapo anasubiria idd na sikukuu za mwisho wa mwaka.

Zaidi ya hapo anasema kuna kukulana kwingi weekends na pale wanachuo wakikosa bumu ndio kuna kaseason ka kukulana kanapitaga. Na kuna kukulana kwenye show za wanamuziki, mwenge, marathon, event za michezo na event za kidini na event za kisiasa

NB: Pharmacy ipo karibu na chuo
 
Gesti zimejaa. Hapa mtaani ni milio ya vishindo vya vitanda, kwichi!kwichi!kwichi!kwichi!. Huku ni milio ya nyamanyama ya makalio zikigongana pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!pwa!

Jamaa yangu anauza pharmacy anasema kauza condom za laki 2 kwa usiku mmoja.

P2 zimenunuliwa mno. Na hapo bado kuuzwa azuma
Hongereni
 
Jamaa mwenye pharmacy anaomba watu waambukizane magonjwa ya std na uti sugu. Anasema season ya uasherati huwa kuna hela mno. Hakosagi laki tano mpaka 1.2m kwa season za kukulana. Anasema hapo anasubiria season nyingine ya kukulana ambayo ni valentine na ile wiki ya pasaka baada ya hapo anasubiria idd na sikukuu za mwisho wa mwaka.

Zaidi ya hapo anasema kuna kukulana kwingi weekends na pale wanachuo wakikosa bumu ndio kuna kaseason ka kukulana kanapitaga. Na kuna kukulana kwenye show za wanamuziki, mwenge, marathon, event za michezo na event za kidini na event za kisiasa

NB: Pharmacy ipo karibu na chuo
Duh ni noma ila mfungo mwaka huu ni February so valentine, eid na pasaka vitafuatana kwa karibu so atauza🤣
 
Back
Top Bottom