Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…


huyu dada anahitaji awe na kaka kama Asprini....
lakini kwanini na nyie hamkuamulia bana? aisee ugomvi wa mke na mume kiasi cha majirani kusikia hii haijanikalia sawa aisee...nimejiskia uchungu sana.
 

Babu "lisilojulikana" linatisha. Waweza kudhani umepata kumbe umepatikana. . . au ukapata na usijue ukaishia kuchezea shilingi karibu na shimo la choo. Tabu tupu.
 
Hahahahaha. . . .
Haki ya nani kesi ntakua nazileta kivingine. Sitaki madongo ya "siulisemaga hivi na vile? Iko wapi jeuri yako sasa??"
Au nakuja na "Rafiki yangu anahitaji ushauri. . . . . " hapo hamtaniweza ng'o.

...amaaaa? usifanye hivyo bana, utakosa huruma yangu dearie...pls dont
ukishatendwa huko we njoo tu hapa na jina hili hili, labda na avatar yenye manundu...
si unakumbuka sympathy aloipata makaburini na yule mke aloishiwa mafuta?
 

...lahaula wala quwwata,... tuseme mie nimezaa watoto wawili nje ya ndoa, kwa nyakati tofauti, na wanawake tofauti...halafu baadae maishani nije nioe mwanamke nizae nae...how can i exclude my blood bana kwenye urithi?

tusitishane mzee, kwangu mie nitaendana kinyume na maandiko ya kidini, na ya kiserikali...wanangu lazima wanirithi bana, ...kwangu mimi mwana wa haramu msemo huo hau apply... kosa la wazazi halimhukumu mtoto bana..

...hapa ndoa yangu lazima iyumbe kwa msingi huu mkuu DC.
 

...amaaaa? usifanye hivyo bana, utakosa huruma yangu dearie...pls dont
ukishatendwa huko we njoo tu hapa na jina hili hili, labda na avatar yenye manundu...
si unakumbuka sympathy aloipata makaburini na yule mke aloishiwa mafuta?
Hahahaha. . . yale ya Makaburini yalikua mepesi. Nikija na yangu mtaogopa kunisema kweli, mtabaki kunipa pole hata kama "nilijitakia".
 
Reactions: Mbu

yani kwakweli maelezo yamejitosheleza da!
 

Hii mada tulishaichambua sana hapa hapa kwenye MMU,

https://www.jamiiforums.com/mahusia...-na-umiliki-wa-mali-kizungumkuti-kingine.html


Mtoto wa nje ni yule ambaye amezaliwa nje ya ndoa husika. Na mali za ndoa (marrital property) ni zile ambazo zimechumwa wakati mko pamoja. Hata hivyo mali zako za awali unaweza kuziandikisha kuwa zitakuwa zako peke yako na kwake vile vile.

Suala la watoto ambao uko nao kutoka kwenye ndoa ya awali nadhani ni tofauti. Nitauliza wataalamuu wanisaidie kwenye hili. Hata hivyo, dawa yake ni wewe kuandika wosia na kuwapa mali zao upfront!
 
Reactions: Mbu
Ni kweli usemayo Mbu but kesi ya huyu mama ni kuwa mumewe alichetuka somewhere in between!!
Na hapa inachukuliwa ni kosa la mme na adhabu yake ni kumtafuti urithi wake lakini si kumpatia kile alichotafuta mama ?
 
Ni kweli usemayo Mbu but kesi ya huyu mama ni kuwa mumewe alichetuka somewhere in between!!
Na hapa inachukuliwa ni kosa la mme na adhabu yake ni kumtafuti urithi wake lakini si kumpatia kile alichotafuta mama ?

Huyo mtoto hana cha kurithi hapo. Yeye siyo mtoto wa ndoa na baba yake alitakiwa amsaidie akiwa bado hai. Na endapo angeandika wosia, angeweza kumpatia huyo mtoto baadhi ya mali zake kama ambavyo angeweza kumpa mtu mwingine yeyote.

Katika hii case huyo mtoto aende tu kwa mama yeka wasaidiane kuomboleza. That's all he deserves and nothing else, kwa mujibu wa sheria ya ndoa ya mwaka 1971!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…