Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

Mbu we uko tayari kuingia kwenye ndoa na mtu ambae una "LOW EXPECTATIONS"kuhusu yeye au una "LOW EXPECTATIONS" na maisha yenu pamoja? Hapo naona kama mtu utakua unaamua kutimiza jukumu la kuoa/olewa tu na sio unafanya kwakua unapenda. Binafsi siwezi kwakweli.

...sasa kwani yeye ni malaika jamani kiasi kwamba hatakosea?
ukishajiambia kama nilivyo na mapungufu yangu, naye atakuwa na yake ...baaaaasi!...
mnaishi kwa kukumbushana mnapoteleza na kuswameheana.
 
walllaaa usiogope....maisha ndio haya haya, jimwage ndani yakikushinda cku zote nashauri kama m2 huna kifua kuliko ujifie na kisukari chomoka jipange safari mpya bila kujali jamii itasema/itaongea, hukuja duniani na jamii...utamu wa ngoma uingie ucheze..

Kweli kabisa,

Lasima watu wawe tayari ku-observe law of elasticity limit!!

hahahahah umenipa raha ya kulalia.....wenzio 2meshazoea...sasa cjui nyie kama mtaweza kujitoa mhanagahivi, ukweli ni kwamba mwanamke ndio huwa anajitoa kwa asilimia kubwa sana kwenye ndoa......

Lakini dada kuna wanaume wanapekeshwa hadi wanatia huruma...

Wanawake wengi wanateseka kwa sababu ya mila zinazowakandamiza na hali yao kiuchumi inayowafanya kuwa wategemezi kwa waume zao!

2napowapa moyo waunge unge ndio 2naharibu kabisa, ni bora 2waambie ukweli but wajue kila ndoa na sekeseke lake, hakuna formula....ni tamu sana na chungu sana...

Kuwapa facts za mambo ya hovyo yanatokea kwenye ndoa na pia mambo machache mazuri sana ndiyo process yenyewe ya kuwapa moyo!
 
ctaki kucheka mie jamani...kwamba ndio njia za mkato zitakosekana?...na unategemea mie nyamayao nikimbizane na sheria zenu wkt bado nampenda ngosha wangu nikajidhalilishe na masheria yenu huku naumia moyoni kwa mapendo?....

Heheehhe, hapo sasa ukitaka kuumia tu moyoni unaumia. Siunajua wapo hata wanaopigwa na wanapiga kimya tu, ila option ipo hivyo wasiotaka kuonewa wanaitumia.
 
....yaani mwanajamiione anatusoma tu, hajachangia chochote mpaka muda huu?
Nyamayao hebu mchokonoe kidogo huyo nduguyo aje aweke senti hamsini yake hapa...
 
hahahaha haya bwana...huna shangazi/mama/dada wakubwa wewe? hao ndio mabingwa wa vumilia.....

Umenikumbusha bibi yangu mdogo (kaolewa na babu mdogo). . . . dah kweli yule mama ni mvumilivu. Yani story za babu mpaka mimi nilipata maana wakati alikua anatoka na mfanyakazi wa hotel/bar ya baba wa rafiki yangu. Nikaminya tu info, mpaka alipopata mtoto huko nadhani ndio mke wake aligundua. Akamfanyia mtoto na sherehe ya ubatizo. Nampa heshima yake kwakweli.

@Mbu, kulalamika siwezi. Ila ntaitafuta hiyo haki kwa lazima maadam nastahili.
 
...sasa kwani yeye ni malaika jamani kiasi kwamba hatakosea?
ukishajiambia kama nilivyo na mapungufu yangu, naye atakuwa na yake ...baaaaasi!...
mnaishi kwa kukumbushana mnapoteleza na kuswameheana.

Mbu kukoroma usiku ni pungufu, kujenga makazi kwa nyumba ndogo ni LIpungufu. Kama mimi najitahidi mapungufu yangu yasiwe kero kwake kwanini na yeye asifanye hivyo? Nadhani tuwe na motto mpya, badala ya kutakana tuvumiliane kwa mapungufu tuliyonayo, tutakane kufanya kila jitihada kuhakikisha mapungufu yetu hayawi kero kwa wenzi wetu.
 
Mbu we uko tayari kuingia kwenye ndoa na mtu ambae una "LOW EXPECTATIONS"kuhusu yeye au una "LOW EXPECTATIONS" na maisha yenu pamoja? Hapo naona kama mtu utakua unaamua kutimiza jukumu la kuoa/olewa tu na sio unafanya kwakua unapenda. Binafsi siwezi kwakweli.

That will be a terrible miscalculation and you will me doomed to fail at very low cost!!

Umenikumbusha bibi yangu mdogo (kaolewa na babu mdogo). . . . dah kweli yule mama ni mvumilivu. Yani story za babu mpaka mimi nilipata maana wakati alikua anatoka na mfanyakazi wa hotel/bar ya baba wa rafiki yangu. Nikaminya tu info, mpaka alipopata mtoto huko nadhani ndio mke wake aligundua. Akamfanyia mtoto na sherehe ya ubatizo. Nampa heshima yake kwakweli.

@Mbu, kulalamika siwezi. Ila ntaitafuta hiyo haki kwa lazima maadam nastahili.

Sure,

Jambo la msingi ni kujiandaa kwa maamuzi magumu...Usiwe kama wanamtandao kwamba ukishaingia ikulu game over!
 
Mbu kukoroma usiku ni pungufu, kujenga makazi kwa nyumba ndogo ni LIpungufu. Kama mimi najitahidi mapungufu yangu yasiwe kero kwake kwanini na yeye asifanye hivyo? Nadhani tuwe na motto mpya, badala ya kutakana tuvumiliane kwa mapungufu tuliyonayo, tutakane kufanya kila jitihada kuhakikisha mapungufu yetu hayawi kero kwa wenzi wetu.

Kweli Lizzy kuna mapungufu ambayo yanaonekana wazi kwamba yako nje ya uwezo wa mtu..Ila kuna mapungufu ambayo mtu akiwa na upendo na kujitoa kwa mwenzake basi anaweza kuyafanyia kazi na kupunguza kero kwa mwenzake...Ila kama mtu anataka kuoa/olewa na kuendelea na maisha ya kisera sera kama vile ni single basi inabidi kufanya maamuzi mazito na kumwachia aendelee tu!!

Babu DC!!
 
....yaani mwanajamiione anatusoma tu, hajachangia chochote mpaka muda huu?
Nyamayao hebu mchokonoe kidogo huyo nduguyo aje aweke senti hamsini yake hapa...

Huyu MJ1 sijui kapatwa na nini hadi angande kimya hivyo!!
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
That will be a terrible miscalculation and you will me doomed to fail at very low cost!!

Sure,

Jambo la msingi ni kujiandaa kwa maamuzi magumu...Usiwe kama wanamtandao kwamba ukishaingia ikulu game over!

Kwahiyo babu hapo kwenye "LOW EXPECTATION" unasemaje? Ikiwa hivyo mtu akimbie mapema au?

Hehehhe, babu tumezaliwa kufanya maamuzi magumu. Tatizo ni watu kukosa utayari.
 
Mbu kukoroma usiku ni pungufu, kujenga makazi kwa nyumba ndogo ni LIpungufu. Kama mimi najitahidi mapungufu yangu yasiwe kero kwake kwanini na yeye asifanye hivyo? Nadhani tuwe na motto mpya, badala ya kutakana tuvumiliane kwa mapungufu tuliyonayo, tutakane kufanya kila jitihada kuhakikisha mapungufu yetu hayawi kero kwa wenzi wetu.

...kwenye hii sekta ya uvumiliaji,...kuna kina mama husema "uchafu wake afanyie huko huko, hapa kwangu heshima na adabu" ...Sasa kwa ruksa hiyo, huyo mume akitekeleza majukumu yake kikamilifu, ila hilo la upungufu anaoumalizia nje mbali na upeo wa macho/masikio ya bi mkubwa ...si sahihi?
 
Kwahiyo babu hapo kwenye "LOW EXPECTATION" unasemaje? Ikiwa hivyo mtu akimbie mapema au?

Hehehhe, babu tumezaliwa kufanya maamuzi magumu. Tatizo ni watu kukosa utayari.

Absolutely Lizzy,

Mtu ambaye haoni kama una mvuto kwake unatakiwa umtambue mapema na kusepa...

Ndiyo maana nawashauri kila siku kwamba msifanywe vipofu na haya malove love yenu ya kisasa (TV dramas and movies) mkasahau kufanya due diligence kabla ya kusema, ...I DO!!!

huwa nikimsomaga Lizzy namuona ni mdada mwenye maamuzi magumu....but 2kija kwenye mapenzi/mapendo ni dunia mbili tofauti, cjui napo huko atakuwa na maamuzi haya haya...Lizzy hapa 2naongelea wkt umeshakuwa mama wa watoto kadhaa....
 
...kwenye hii sekta ya uvumiliaji,...kuna kina mama husema "uchafu wake afanyie huko huko, hapa kwangu heshima na adabu" ...
Sasa kwa ruksa hiyo, huyo mume akitekeleza majukumu yake kikamilifu, ila hilo la upungufu anaoumalizia nje mbali na upeo wa macho/masikio ya bi mkubwa ...si sahihi?

Ingawa hatukubaliani na wadau wengi tena wale wa siku hzi,

Hiyo ndiyo tunasema ni cheating responsively,

Wazee wetu walijua hilo na kulitekeleza kama kanuni ya imani ya Wakristo!!
 
huwa nikimsomaga Lizzy namuona ni mdada mwenye maamuzi magumu....but 2kija kwenye mapenzi/mapendo ni dunia mbili tofauti, cjui napo huko atakuwa na maamuzi haya haya...Lizzy hapa 2naongelea wkt umeshakuwa mama wa watoto kadhaa....

Tumwombee tu dada,

Ila kama ataweza kuendelea na misimamo yake, kwa sehemu kubwa itamsaidia kujua wapi panahitaji kuchukua hatua na kufanya maamuzi mazito...Hata hivyo atatakiwa kuwa mwangalifu kwa sababu akikutana na mtu mjanja anaweza kumtegea a-commit technical errors ambazo zinaweza kuwa kitanzi kwake!

Best wishes to Lizzy,

babu DC
 
Mbu...nadhani MJ1 bdo hajamaliza ckukuu...kesho 2takuta ka2poromoshea humu.
Dada yangu naona umeamua kumuitika Mbu na wito wake wa kunichokonoa! Nawasomeni tu!

Mie 2012 ninatamani kuwa mmama wa zamani, mvumilivu na mke mwema! But kwa mume atakayeniheshimu na kuzitenda dhambi zake kwa uwoga wa mke.

Sio anaidharau kiasi cha kuniletea wanawake wengine, kunipiga e.t.c halaf mnihubirie niwe mvumilivu!! Labda mnisubirishie na supa Gluu
 
...kwenye hii sekta ya uvumiliaji,...kuna kina mama husema "uchafu wake afanyie huko huko, hapa kwangu heshima na adabu" ...Sasa kwa ruksa hiyo, huyo mume akitekeleza majukumu yake kikamilifu, ila hilo la upungufu anaoumalizia nje mbali na upeo wa macho/masikio ya bi mkubwa ...si sahihi?

Mmmmh!!
Haya bwana wanaotaa ruhusa wavumilie tu mi wala sitowaingilia. Ila mimi heshima nataka iwepo muda wote, kama haiwezekani ndio basi tena.
 
Katika thread mbali mbali ambazo tumechambua mwaka huu wa 2011, binafsi nimefarijika na kufaidi michango ya wadau kuhusu taasis ya ndoa. Ndoa ni taasisi ni muhimu sana na kila mmoja wetu analo jukumu la kulinda ndoa yake na pia kutoa support kwa ndoa za marafiki zake. Ili ndoa idumu, kuna vitu ambavyo ni muhimu sana kuvipa kipaumbele. Hivi ni pamoja na,

1. Upendo….Ni muhimu kuonesha kwa maneno na vitendo kuwa unampenda mwenzio na kumthamini. In short, mke au mme anatakiwa awe nambari one siku zote…
…Kwenye hili suala huwa sitaki utani…my wife is always nambari one and I can give anything including my life to protect her!!

2. Heshima na uvumilivu…Bila kuyaonesha haya kwa vitendo lazima ndoa itayumba

3. Kujitoa (sacrifice)…Kama hauko tayari kujitoa kwa ajili ya mwenzi wako ni bora ubaki single au ukapursue line nyingine za maisha ikiwemo utowashi!!

4. Uaminifu….Hapa ni pagumu sana ila ni eneo nyeti…Ukishindwa basi tumia kanuni ambazo wadau walileta na kujadili hapa….Cheating should be avoided but doing it responsively ni sehemu ya uungwana kwenye ndoa

5. Consensus .. ni muhimu sana kukubaliana katika vitu vya msingi na kutekeleza hayo makubaliano kwa vitendo! Kuacha kila mtu afanye mambo yake kwenye ndoa ni sawa na kuwa na jeshi lisilo na kamanda…Lazima litasambaratika tu!

Yapo mambo mengine mengi na wadau wanaweza kuyaongeza. Hata hivyo kuna changamoto nyingi ambazo zimejitokeza hivi karibuni na wadau wanatakiwa kupambana nazo.

1. Uzoefu wa wanandoa unaotokana na kuwa na mahusiano ya ki-ngono kabla ya ndoa…
……Enzi zile watu walikuwa wanakutana wakiwa mabikra…hawakuwa na kitu chochote cha kufanyia reference. Je tunafanyaje kudeal na historia zetu za nyuma katika ndoa zetu ili zisituyumbishe?

2. Watoto waliopatikana kabla ya ndoa….Hili ni gumu sana especially kwa wanawake kuliko kwa wanume….Linachangiaje ku-destabilize ndoa??...Naomba michango ya wadau!!

3. Tofauti ya kipato…Hili ni janga jingine especially mwanamke anapokuwa na uwezo zaidi ya mwanamume. Hapa couples zinatakiwa kukubaliana jinsi ya kuhandle mambo ya pesa!

4. Infidenlity inayopata support ya technology mpya….Siku hizi ni rahisi sana kukutana na watu wapya na kuweka mambo sawa bila hata kutakiwa kusafiri…!! Wanandoa wanatakiwa kukwepa haya mambo ili kutowaumiza wenzi wao!

Naamini kuwa, tunatakiwa kuelewa kwamba kuna mabadiliko makubwa yaliyotokea hivi karibuni na hivyo tuchukue hatua mathubuti ili kuimarisha ndoa zetu,

Nawatakia heri ya mwaka mpya wa 2012!!

Babu DC (1947)

Hapo kwenye nyekundu panahusika sana!
 
Back
Top Bottom