Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

Hahaahah. . .
Nyamayao kwani wadada wa kileo tukoje jamani?
Au wakaka wa kileo ndio tatizo?

wakaka wa kileo ndio stroke yenyewe...madada wa kileo hamna uvumilivu kbsa c nawasoma humu?...hv Lizzy unaweza kujua mr wako ana hawara mpaka unapelekwa alipo na kushuhudia na kulala nje kwa miezi 6 mfululizo, hali/ hanywi ndani, yani yeye ni kubadili nguo asubuhi na kumuona kesho asubuhi kuja kubadili nguo tena awahi ofc na hapo umemuandalia mpaka boxer?
 
hahahahahaha! Mi mwenyewe nishaona ananikomaza. Lol. Heri ya mwaka mpya nyamayao.

2 u 2 sweetheart....wa2 wanalalama humu then hao hao wanaulizwa wataingia lini kama vile wamesha solve hizo problems.
 
Hahahahaha. . . .mi mtu akiniuliza namwambia "siku atakaponiletea mchumba."

Hivi kumuuliza hivi ndugu au rafiki ni sahihi kweli?

Kama ni rafiki yako kweli na kwa ajili ya kujiandaa na michango ya harusi ambayo kwa bongo sasa hivi unatumia kama RV4 moja au zaidi kwa mwaka, nadhani ni sawa tu kumuuliza!

heee bro! hus bado mdogo ucmkomaze na haya mandoa yenu ya kuvumilia mpaka ukamilifu wa dahari.

Nyamayao,

Sasa mdogo wako unayependa utamwombea nini kama si mume bora?? Na utajuaje kama anaelekea kwenye njia sahihi kama huvunji ukimya??

msiwatishe watoto/vijana......

Hapana dada,

Hapa tunawapa moya na kuwaelezea ma utamu ya ndoa ambayo tuliyapata na tunaendelea kuyapata sie babu zao. Ila tunawaeleza pia maeneo ya barabara ambayo itawabidi wapite kwa mwendo mdogo mdogo ili wasije kupata ajali!!

Ni vibaya hivyo??
 
DC......kwema Ta lakini mkiuu??
Hapo kwenye number 1 hapo ndo mi nipo hapo, sipaachii mwaka huu.

Nyamayao, nimekumisi asee....upo mama?

Lizzy, heri ya mwaka mpya.

Kwema mkuu,

Heri ya mwaka mpya kaka...

Naamini ombi lako Mungu amelisikia na kuli-approve kwa sababu hujalifanya kwa mwendo wa chit-chat!!

Babu DC
 
Nadhani wanafanya hivyo kwasababu hata kama unampenda mwenzako kiasi gani, usipoweza kuvumilia madudu anayilokufanyia hakutakua na ndoa tena hapo. Ila ukiweza kumvumilia hata kama upendo "umeenda safari na haujulikani utarudi lini" bado mtabaki kuwa wanandoa hata kama huko ndani mtakua mnaact tofauti.[/QUOTE]

Kwa kauli hii,

Naweza bila shaka yoyote kwamba nitapingwa na wazee wenzangu kukutangaza kuwa umehitimu na unakaribishwa kwenye mahafali yatakayofanyika tarehe ambayo itatangazwa shortly,

Well done Lizzy,

Babu DC!
 
Happy New year na wewe dada,

Mie nadhani tunahitaji kuwaeleza sana hawa vijana kwamba wasiingie kwenye ndoa na dreams za mapenzi ya kwenye TV badala yake wabebe magunia ya uvumilivu, kwani hiyo itakuwa ni asset ya nguvu sana. Hata hivyo ni muhimu kujiandaa kutoa upendo wa hali ya juu na kutegemea kupewa kidogo tu. Ila kwa kuwa watakuwa na salio la kutosha la uvumilivu basi hawatayumba!

Nahofia sana ninaposikia vijana wakiongelea hayo mambo yao wanaita love, love, love,..... ambayo binafsi sijui kama maana yake sahihi kwa kimatumbi chetu ni upendo!!

Babu DC!!

hivi kwann m2 ujiandae kujitolea kiac hicho na unajua kabisa unapokea kidunchu? hapo ndio nasemaga bora ckuolea nikijua maana ya ndoa, nilijua zile my baby ni kati yangu me na ngosha, sasa hawa wa kileo wameshajiweka kama zile baby hazitakiwa kutoweka midomoni mwa wapendwa wao, ndio suala la mauvumilivu ye2 na yao yanapotofautiana, kazi wanayo!....
 
Babu na huo uvumilivu anahitajia kuwa nao mmoja wa wanandoa tu?
 
2 u 2 sweetheart....wa2 wanalalama humu then hao hao wanaulizwa wataingia lini kama vile wamesha solve hizo problems.

mi nikisikia matatizo ya watu ndio nazidi kuchoka ingawa haimaanishi mwenzako akifikwa na mabaya nawe yatakufika ila inaogopesha.
 
wakaka wa kileo ndio stroke yenyewe...madada wa kileo hamna uvumilivu kbsa c nawasoma humu?...hv Lizzy unaweza kujua mr wako ana hawara mpaka unapelekwa alipo na kushuhudia na kulala nje kwa miezi 6 mfululizo, hali/ hanywi ndani, yani yeye ni kubadili nguo asubuhi na kumuona kesho asubuhi kuja kubadili nguo tena awahi ofc na hapo umemuandalia mpaka boxer?

Hahahaha. . . hapo kwakweli bora nisemwe sina uvumilivu, simpendi na mengineyo ila siwezi kujifanya mjinga na kuangalia tu wakistareheshana huku nikisubiria makombo nyumbani. Kuna ya kuvumilia aisee na mengine inabidi mtu ukubali kupitwa tu. Ndio maana wengine wanaolewa na wa kizamani kidogo, angalau wao walishazunguka kila mahali na sasa wanapumzika na wake zao tu.
 
huku 2naparangana kufa na kupona bado hao hao wanauliza haya maswali.....haya bwana, ndoa zilikuwa enzi hizo za sasa kama unataka pressure/kisukari karibu sana...huwaga nawahurumia wadada wa kileo jamani cjui mtayaweza?

wa2 2na act kina Kanumba cha mtoto...haya bwana ngoja 2subirie mpaka cku m2 utakapoamua kuamka asubuhi na kufungasha malifeti yako...(when a woman is fed up)..inakera sana.

Nyamayo sasa wewe ndiye unaanza kuwatisha wadogo zetu!!
 
DC......kwema Ta lakini mkiuu??
Hapo kwenye number 1 hapo ndo mi nipo hapo, sipaachii mwaka huu.

Nyamayao, nimekumisi asee....upo mama?

Lizzy, heri ya mwaka mpya.

nipo baba...mic u 2.....heri ya mwaka kwako!...namckilizia 2 DC na sera zake za kuimarisha ndoa mwaka huu...cjui ha2kutakiwa kuziimarisha kuanzia 2lipopanda mbegu?....
 
Kama ni rafiki yako kweli na kwa ajili ya kujiandaa na michango ya harusi ambayo kwa bongo sasa hivi unatumia kama RV4 moja au zaidi kwa mwaka, nadhani ni sawa tu kumuuliza!
Khaaaa. . .ndoa imekua biashara?
 
@babu DC, najua ipo siku nitajitosa mazima kwenye ndoa ila dah........

Usijali Hus,

Ndoa ni kama mimba, inakaa huko ndani miezi 9 +/-2wks!! Labour ikifika lazima mtoto atazaliwa tu hata kwa caesa!!
 
hivi kwann m2 ujiandae kujitolea kiac hicho na unajua kabisa unapokea kidunchu? hapo ndio nasemaga bora ckuolea nikijua maana ya ndoa, nilijua zile my baby ni kati yangu me na ngosha, sasa hawa wa kileo wameshajiweka kama zile baby hazitakiwa kutoweka midomoni mwa wapendwa wao, ndio suala la mauvumilivu ye2 na yao yanapotofautiana, kazi wanayo!....

Hata mimi nashindwa kuelewa maana ya ndoa inakua wapi iwapo watu wataingia wakijua kabisa watatakiwa wajitoe sana kwa wenzi wao bila kutegemea chochote. Hii taasisi inaonekana imekaa kibinafsi sana kwa style hii.
 
mi nikisikia matatizo ya watu ndio nazidi kuchoka ingawa haimaanishi mwenzako akifikwa na mabaya nawe yatakufika ila inaogopesha.

walllaaa usiogope....maisha ndio haya haya, jimwage ndani yakikushinda cku zote nashauri kama m2 huna kifua kuliko ujifie na kisukari chomoka jipange safari mpya bila kujali jamii itasema/itaongea, hukuja duniani na jamii...utamu wa ngoma uingie ucheze..
 
Babu na huo uvumilivu anahitajia kuwa nao mmoja wa wanandoa tu?

Ni pande zote Lizzy,

Kila mtu kwenye ndoa anakutana na changamoto zake ingawa zinaweza kutofautiana uzito!

Mfano, wakati Nyamayo anaongelea mtu anayeshinda nje akihangaika kutafuta tafuta kama jogoo la kienyeji, pia wapo wanaume ambao wanaishi kwa kustarve...Yaani kupewa dinner mpaka mama aamue au sijui apewe ruhusa na mtu mwingine!!

Ndio maana ukifuatilia, vilio vinavyoletwa hapa kwenye ukumbi wa MMU vinatokea pande zote (Me and Ke)!!
 
Hata mimi nashindwa kuelewa maana ya ndoa inakua wapi iwapo watu wataingia wakijua kabisa watatakiwa wajitoe sana kwa wenzi wao bila kutegemea chochote. Hii taasisi inaonekana imekaa kibinafsi sana kwa style hii.

hahahahah umenipa raha ya kulalia.....wenzio 2meshazoea...sasa cjui nyie kama mtaweza kujitoa mhanagahivi, ukweli ni kwamba mwanamke ndio huwa anajitoa kwa asilimia kubwa sana kwenye ndoa......
 
hivi hizi ndoa za cku hizi ha2hubiriwi upendo tena bali uvumilivu?...mhhh juzi naongea na mama nyamayao naambiwa vumilia 2 mwanangu....hii vumilia ipo upande mmoja 2?....haya bwana...HAPPY NEW YEAR KWENU NYOTE...ngoja 2endelee kuvumilia.

...sasa tutafanyaji dear, hakuna mwenye nafuu?...hata ukiruka mkojo waishia kukanyaga kinyesi!

Hahahahaha. . . .mi mtu akiniuliza namwambia "siku atakaponiletea mchumba."

Hivi kumuuliza hivi ndugu au rafiki ni sahihi kweli?

...lol...hivi kumbe ni vibaya ee? Husninyo pole dearie,lol...umepata watetezi hapa ati we u mdogo tusikukomaze,...wooww!
 
wakaka wa kileo ndio stroke yenyewe...madada wa kileo hamna uvumilivu kbsa c nawasoma humu?...hv Lizzy unaweza kujua mr wako ana hawara mpaka unapelekwa alipo na kushuhudia na kulala nje kwa miezi 6 mfululizo, hali/ hanywi ndani, yani yeye ni kubadili nguo asubuhi na kumuona kesho asubuhi kuja kubadili nguo tena awahi ofc na hapo umemuandalia mpaka boxer?[/QUOTE]

Duuuuu,

Hapo sijui kama kinachohitajika ni uvumilivu...May be ni kitu kingine kabisa...

Ni kipimo cha mambo mengi ikiwemo level ya adrenaline na kama wewe ni binadamu wa kawaida mwenye hasira kama sie au new brand ambayo imeondolea vifaa vinavyosababisha hasira!!
 
Back
Top Bottom