Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

huwa nikimsomaga Lizzy namuona ni mdada mwenye maamuzi magumu....but 2kija kwenye mapenzi/mapendo ni dunia mbili tofauti, cjui napo huko atakuwa na maamuzi haya haya...Lizzy hapa 2naongelea wkt umeshakuwa mama wa watoto kadhaa....

Tumwombee tu dada,

Ila kama ataweza kuendelea na misimamo yake, kwa sehemu kubwa itamsaidia kujua wapi panahitaji kuchukua hatua na kufanya maamuzi mazito...Hata hivyo atatakiwa kuwa mwangalifu kwa sababu akikutana na mtu mjanja anaweza kumtegea a-commit technical errors ambazo zinaweza kuwa kitanzi kwake!

Best wishes to Lizzy,

babu DC

....ingawa simkusudii kumlengea Lizzy, nimeukumbukia huu msemo wa "ndege mjanja,....!"
huyu anajua na mnamfundisha mengi kuhusu ndoa kiasi kwamba hata kiingia kwa huyo mumewe atakuwa ana
kamusi kamilifu ya kila tendo la mumewe.... huyo shemeji yetu awe mvumilivu tu,...lol!
 
huwa nikimsomaga Lizzy namuona ni mdada mwenye maamuzi magumu....but 2kija kwenye mapenzi/mapendo ni dunia mbili tofauti, cjui napo huko atakuwa na maamuzi haya haya...Lizzy hapa 2naongelea wkt umeshakuwa mama wa watoto kadhaa....

Nyamayao mpaka sasa hivi nimejitahidi kufanya baadhi ya nnayohubiri. Tuombe tu huko mbeleni nisije nikapewa limbwata nibaki kusema "we sawa tu. . . we nionee tu".

@Babu DC. . .
Ahsante babu. Ntajitahidi kuwa realistic, ila uvumilivu wangu utakua umepimwa.Akiutumia ukaisha ndio basi tena sitokua na chakumsaidia.
 
Dada yangu naona umeamua kumuitika Mbu na wito wake wa kunichokonoa! Nawasomeni tu!

Mie 2012 ninatamani kuwa mmama wa zamani, mvumilivu na mke mwema! But kwa mume atakayeniheshimu na kuzitenda dhambi zake kwa uwoga wa mke.

Sio anaidharau kiasi cha kuniletea wanawake wengine, kunipiga e.t.c halaf mnihubirie niwe mvumilivu!! Labda mnisubirishie na supa Gluu

dahhh, huo wekundu umeniuma sana...
 
....ingawa simkusudii kumlengea Lizzy, nimeukumbukia huu msemo wa "ndege mjanja,....!"
huyu anajua na mnamfundisha mengi kuhusu ndoa kiasi kwamba hata kiingia kwa huyo mumewe atakuwa ana
kamusi kamilifu ya kila tendo la mumewe.... huyo shemeji yetu awe mvumilivu tu,...lol!

Hahahahaha. . . uchokozi sasa huo Mbu.

Ngoja nimalizie msemo huo. Ndege mjanja. . hunaswa na tundu bovu, ila akinaswa na tundu bovu ATANASUKA.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Nyamayao mpaka sasa hivi nimejitahidi kufanya baadhi ya nnayohubiri. Tuombe tu huko mbeleni nisije nikapewa limbwata nibaki kusema "we sawa tu. . . we nionee tu".

@Babu DC. . .
Ahsante babu. Ntajitahidi kuwa realistic, ila uvumilivu wangu utakua umepimwa.Akiutumia ukaisha ndio basi tena sitokua na chakumsaidia.

...lol....wanalinywa tu wenyewe, wafanya mchezo na mahaba nini wewe, kitu kiduuuuchu kinamtoa mtu akili, kwenu hutulii, kazini hakukaliki, usiku ni mkesha,..karaha na raha tupu!
 
Dada yangu naona umeamua kumuitika Mbu na wito wake wa kunichokonoa! Nawasomeni tu!

Mie 2012 ninatamani kuwa mmama wa zamani, mvumilivu na mke mwema! But kwa mume atakayeniheshimu na kuzitenda dhambi zake kwa uwoga wa mke.

Sio anaidharau kiasi cha kuniletea wanawake wengine, kunipiga e.t.c halaf mnihubirie niwe mvumilivu!! Labda mnisubirishie na supa Gluu

Mpenzi hongera kwa kua na kiasi.Usipokua na kiasi hata heshima ni ngumu kupata.
 
  • Thanks
Reactions: Mbu

...lol....wanalinywa tu wenyewe, wafanya mchezo na mahaba nini wewe, kitu kiduuuuchu kinamtoa mtu akili, kwenu hutulii, kazini hakukaliki, usiku ni mkesha,..karaha na raha tupu!
Hahahaha. . .Mbu mbona unaniogopesha sasa? Naanza kuogopa mahaba na mapenzi mazito mazito, nisije nikageuzwa puppet. Au nitafute wa makubaliano mapenzi niwaachie wengine?
 
Dada yangu naona umeamua kumuitika Mbu na wito wake wa kunichokonoa! Nawasomeni tu!

Mie 2012 ninatamani kuwa mmama wa zamani, mvumilivu na mke mwema! But kwa mume atakayeniheshimu na kuzitenda dhambi zake kwa uwoga wa mke.

Sio anaidharau kiasi cha kuniletea wanawake wengine, kunipiga e.t.c halaf mnihubirie niwe mvumilivu!! Labda mnisubirishie na supa Gluu

nani kakufundisha hiki kiburi cku hizi jamani?....supa glu tena?....hahahaha....wa2 mmeshakuwa sugu...happy new year dearest!...
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Mh! Ndoa si mchezo hakuna mwalimu mungu atutangulie ktk hili tu.
 
Babu hapo kwenye suala la kipato ukijumuisha na watoto wa nje ya ndoa (yaani waliozaliwa nje but wakati mume tayari yu ndoani) bado ina ugumu.
I was once asked na mmama ambaye yeye ndo breadwinner na mhimili wa familia. Mumewe akafariki pasipo kuandika urithi. Mali yoooote (ambayo technically amechuma mwanamke) ikatiwa kwenye mirathi.... Mtoto wa nje akapewa nyumba Kunduchi (ambayo iloinunuliwa lwa juhudi na pesa za mama) naye kijana amemvuta mamake wanaishi pamoja!

Huyu mmama anakaribia kupasuka kwa hacra.
 
...lol....wanalinywa tu wenyewe, wafanya mchezo na mahaba nini wewe, kitu kiduuuuchu kinamtoa mtu akili, kwenu hutulii, kazini hakukaliki, usiku ni mkesha,..karaha na raha tupu!

aiseee....umenikumbusha kipindi kile, unacallll weeee, una sms weeee hupokelewi/hujibiw, unaamka kombora kumuandalia m2 aliekuwa kwenye raha zake, unampendezesha anarudi ktkt ya maucku, kajichokea anakoroma mie nackilizia jogoo ataniamssha kombora la saa ngapi.....ovyo kabisa, cjui ngosha alinipumbaza na nn kipindi kila aisee.
 
nani kakufundisha hiki kiburi cku hizi jamani?....supa glu tena?....hahahaha....wa2 mmeshakuwa sugu...happy new year dearest!...

Dearest, kwa upole wangu,nimeonewa kiasi cha kutosha,nimenyanyaswa kiasi cha kutosha, adhabu ya kupigwa kwangu na iwe fundisho kwenu wote.

Cha muhimu tambua thamani na umuhimu kwako na ndugu zako
 
  • Thanks
Reactions: Mbu
Hahahaha. . .Mbu mbona unaniogopesha sasa? Naanza kuogopa mahaba na mapenzi mazito mazito, nisije nikageuzwa puppet. Au nitafute wa makubaliano mapenzi niwaachie wengine?

...hahaha,... hivi kwani waweza jua ushaji overdose? utajishtukia tu ushakuwa addicted...
tutakuona tu humu na threads za ajabu ajabu na nyimbo za mipasho...
nakusubiria kwa hamu, labda ubadili ID hahahaha....
 
Dada yangu naona umeamua kumuitika Mbu na wito wake wa kunichokonoa! Nawasomeni tu!

Mie 2012 ninatamani kuwa mmama wa zamani, mvumilivu na mke mwema! But kwa mume atakayeniheshimu na kuzitenda dhambi zake kwa uwoga wa mke.

Sio anaidharau kiasi cha kuniletea wanawake wengine, kunipiga e.t.c halaf mnihubirie niwe mvumilivu!! Labda mnisubirishie na supa Gluu

dahhh, huo wekundu umeniuma sana...

Hata mie imeniuma sana na kunikumbusha kisa nilichokutana nacho jana,

Dada mmoja jirani yetu jana alipewa kipigo kama kibaka...

Wakati tunatoka kanisani tukakuta majirani wanaamulia ugomvi. Dada huyo alitumia simu ya mume wake kuwasiliana na dada yake (wana simu moja ambayo wanaichangia wote mume na mke). Bahati mabaya hakumpata dada yake kwenye simu. Baadaye kidogo, dada yake akapiga na simu kupokelewa na shemeji yake. Dada wa huyo mke alimweleza shemeji yake kuwa amekuta missed call. Mume akamvaa mke wake na kumuuliza kuwa, kwa nini anabeep watu kwa simu yake? Dada wa watu akajaribu kujieleza kuwa hakubeep bali alipiga lakini akamzidishia hasira mume wake na kuanza kupata kipigo. Yaani alipigwa ngumi, mateke na vibao kama vile ni kibaka kaiba cheni!!

Basi tena, sikutaka kuongelea haya mambo ya kupigana kwa sababu yananikera sana!1
 
nani kakufundisha hiki kiburi cku hizi jamani?....supa glu tena?....hahahaha....wa2 mmeshakuwa sugu...happy new year dearest!...

...mie (mwj1) huniambia ati wewe ndio umemfunza,... 🙁
 
Babu hapo kwenye suala la kipato ukijumuisha na watoto wa nje ya ndoa (yaani waliozaliwa nje but wakati mume tayari yu ndoani) bado ina ugumu.
I was once asked na mmama ambaye yeye ndo breadwinner na mhimili wa familia. Mumewe akafariki pasipo kuandika urithi. Mali yoooote (ambayo technically amechuma mwanamke) ikatiwa kwenye mirathi.... Mtoto wa nje akapewa nyumba Kunduchi (ambayo iloinunuliwa lwa juhudi na pesa za mama) naye kijana amemvuta mamake wanaishi pamoja!

Huyu mmama anakaribia kupasuka kwa hacra.

Hapana dada,

hapo kuna makosa ya kisheria...Mtoto wa nje hawezi kurithi mali ya ndoa labda kama baba yake aliandika hivyo kwenye wosia na kuspecify kitu gani apewe. Kama baba hakuandika basi waliompa nyumba huyo mtoto walikosea. Mwambie mama atafute washauri wa sheria wampatie msaada. Vitoto kama huwa hata adabu havina, kitakuwa hapo kinamporomoshea matusi huyo mama utadhani ni kuli!!
 
...hahaha,... hivi kwani waweza jua ushaji overdose? utajishtukia tu ushakuwa addicted...
tutakuona tu humu na threads za ajabu ajabu na nyimbo za mipasho...
nakusubiria kwa hamu, labda ubadili ID hahahaha....

Hahahahaha. . . .
Haki ya nani kesi ntakua nazileta kivingine. Sitaki madongo ya "siulisemaga hivi na vile? Iko wapi jeuri yako sasa??"
Au nakuja na "Rafiki yangu anahitaji ushauri. . . . . " hapo hamtaniweza ng'o.
 
Hata mie imeniuma sana na kunikumbusha kisa nilichokutana nacho jana,

Dada mmoja jirani yetu jana alipewa kipigo kama kibaka...

Wakati tunatoka kanisani tukakuta majirani wanaamulia ugomvi. Dada huyo alitumia simu ya mume wake kuwasiliana na dada yake (wana simu moja ambayo wanaichangia wote mume na mke). Bahati mabaya hakumpata dada yake kwenye simu. Baadaye kidogo, dada yake akapiga na simu kupokelewa na shemeji yake. Dada wa huyo mke alimweleza shemeji yake kuwa amekuta missed call. Mume akamvaa mke wake na kumuuliza kuwa, kwa nini anabeep watu kwa simu yake? Dada wa watu akajaribu kujieleza kuwa hakubeep bali alipiga lakini akamzidishia hasira mume wake na kuanza kupata kipigo. Yaani alipigwa ngumi, mateke na vibao kama vile ni kibaka kaiba cheni!!

Basi tena, sikutaka kuongelea haya mambo ya kupigana kwa sababu yananikera sana!1

Aiseee!!
Mwanaume kama huyo hafai kabisa. Sasa dada akichelewa kupika ama kurudi nyumbani inakuwaje?

Kweli wanyanyasaji hawahitaji sababu!!
 
Hahahahaha. . . .
Haki ya nani kesi ntakua nazileta kivingine. Sitaki madongo ya "siulisemaga hivi na vile? Iko wapi jeuri yako sasa??"
Au nakuja na "Rafiki yangu anahitaji ushauri. . . . . " hapo hamtaniweza ng'o.

Wala usiogope Lizzy,

Kama wote tungeweza ku-predict kitakachotukuta, hakika wengi wetu tusingeoa/olewa..Ila kwa vile hatukujua tumekubaliana na kila kitu ambacho kimetukuta.

You package is on the way but even the sender doesn't know what it contains!!

Uwe na amani tu!!
 
aiseee....umenikumbusha kipindi kile, unacallll weeee, una sms weeee hupokelewi/hujibiw, unaamka kombora kumuandalia m2 aliekuwa kwenye raha zake, unampendezesha anarudi ktkt ya maucku, kajichokea anakoroma mie nackilizia jogoo ataniamssha kombora la saa ngapi.....ovyo kabisa, cjui ngosha alinipumbaza na nn kipindi kila aisee.

Dearest, kwa upole wangu,nimeonewa kiasi cha kutosha,nimenyanyaswa kiasi cha kutosha, adhabu ya kupigwa kwangu na iwe fundisho kwenu wote.

Cha muhimu tambua thamani na umuhimu kwako na ndugu zako

...jamani, pamoja na kwamba kuna wataosema chupa mpya mvinyo ule ule,
lakini naomba tu niwakumbushe,...huu sasa ni mwaka 2012....vitabu vya zamani
mmviache huko makabatini jamani, khaaa? bado tu mnahukumu kwa kumbukumbu za kwenye diaries?

...muwasamehe mliowakosea ili mpate faraja kwenye mioyo yenu, kwani hakuna lililo na
faraja kama kumsamehe aliyekukosea. BTW, mateso na machungu yote alokusababishia
ilikuwa ni kipimo cha kukufikisha hapo ulipo, angalia ulivyopoendeza, ulivyo na mvuto, ulivyo jabali, ngangari
wa nafsi yako?..."kinyangarika" kilichopita maishani mwetu kilitumwa kutupa somo tu jinsi ya kukabiliana na majanga mengineyo maishani.

...natabiri 2013 utakuwa mwaka mbaya, (namba 13 haijanikalia vyema,) acha niufurahie huu 2012,..baada ya dhiki za 2010 na 2011, sasa ni furaha za kujifurahisha mwenyewe...
mavi ya kale hayanuki, yaliyopita si ndwele, na blah blah nyinginezo...hasara yangu hasara yake?
happy new year, cheeeers....heheh
 
Back
Top Bottom