Mbu
JF-Expert Member
- Jan 11, 2007
- 12,752
- 7,861
huwa nikimsomaga Lizzy namuona ni mdada mwenye maamuzi magumu....but 2kija kwenye mapenzi/mapendo ni dunia mbili tofauti, cjui napo huko atakuwa na maamuzi haya haya...Lizzy hapa 2naongelea wkt umeshakuwa mama wa watoto kadhaa....
Tumwombee tu dada,
Ila kama ataweza kuendelea na misimamo yake, kwa sehemu kubwa itamsaidia kujua wapi panahitaji kuchukua hatua na kufanya maamuzi mazito...Hata hivyo atatakiwa kuwa mwangalifu kwa sababu akikutana na mtu mjanja anaweza kumtegea a-commit technical errors ambazo zinaweza kuwa kitanzi kwake!
Best wishes to Lizzy,
babu DC
....ingawa simkusudii kumlengea Lizzy, nimeukumbukia huu msemo wa "ndege mjanja,....!"
huyu anajua na mnamfundisha mengi kuhusu ndoa kiasi kwamba hata kiingia kwa huyo mumewe atakuwa ana
kamusi kamilifu ya kila tendo la mumewe.... huyo shemeji yetu awe mvumilivu tu,...lol!