inawezekana saana
hapo nimekuelewa sasa lol
....mwaka 2012 uwe na heri na baraka kwako pia mkuu...
mwaka huu wa 2011 nimebahatika kupata ufahamu wa kutosha
ni mwanamke gani ndiye anayefaa kuolewa kuliko aliye na uzuri mwingine wowote...
...kasheshe candidates wanao fall katika category hiyo either ni nadra sana kupatikana,
la sivyo inabidi kuwasubiria waachwe na waume zao ambao ama kwa kutotambua thamani ya wanawake hao,
au sababu ya kutoyathamini haya uliyoyaelezea wanaendelea kuwanyanyasa kisaikolojia wanawake hawa ambao
u conservative wao unawafanya waone hata haya kudai talaka...
...pamoja mkuu, ngoja nikwepe kwanza madongo.,..nisijepewa jina baya ati navizia mke wa mtu...lol
happy new year!!!!
Ahsante kaka,
Sasa naomba unisaidie hapa...Haya mambo ya kuendekeza ma EX kwenye ndoa, tutadeal nayo vipi ili tuache kuvuruga hii taasisi?
Eti unakuta mtu ana namba za simu za ma EX wake kibao, kwenye FB huko ndo usiseme....program zao na events zao zinakuwa muhimu wakati mwingine kuliko hata za wanafamilia??
Tutaweza kujenga ndoa namna hiyo??
Alright. . . .Lizzy,
Hizi ndoa ni ngumu sana....Tusiziogope na tusaidiane kuziimarisha,
Ndiyo ujumbe wangu kwa mwaka 2012!!
Babu DC!
umenishtua sana
isije kuwa tunasubiri mke mmoja apewe talaka lol...
Mbu kama hutojali naomba ushee nasi huyo candidate anaefaa anakuaje?
ni mwanamke gani ndiye anayefaa kuolewa kuliko aliye na uzuri mwingine wowote...
Mbu kama hutojali naomba ushee nasi huyo candidate anaefaa anakuaje?
Mbu kama hutojali naomba ushee nasi huyo candidate anaefaa anakuaje?
halafu akisema anaefaa ni Lizzy
utaanza kubisha hapa
Na wewe ulikuwa unatafuta nini kwenye FB yake??
Na wewe ulikuwa unatafuta nini kwenye FB yake??
Hahahahha, Mbu that's pretty unfair!!
...lol, wewe kuna page uliziruka za ile thread ya ndoa za zamani vs siku hizi ?
kuna makungwi kule wamemwaga sera za nguvu mno, hapa kichwa kinagonga kengele!
kawasome tena (in no alphabetical order) kina FaizaFoxy, AshaDii, MwanajamiiOne, Blaki Woman, na Lizzy
...kabla hajaanza kubishana na mbu kuhusu ukandamizwaji wa mwanaume.
kujua hali yake lol

Pamoja na kwamba nimesoma kila post kule siwezi kuona mambo kama uonavyo wewe kwahiyo naomba uwe muwazi zaidi. Unipe vigezo, ili vinavyofaa kujifunza tujifunze.
Hahahahha, Mbu that's pretty unfair!!
Pamoja na kwamba nimesoma kila post kule siwezi kuona mambo kama uonavyo wewe kwahiyo naomba uwe muwazi zaidi. Unipe vigezo, ili vinavyofaa kujifunza tujifunze.