Mwaka mpya wa 2012: Tuimarishe ndoa zetu…

inawezekana saana
hapo nimekuelewa sasa lol

Ahsante kaka,

Sasa naomba unisaidie hapa...Haya mambo ya kuendekeza ma EX kwenye ndoa, tutadeal nayo vipi ili tuache kuvuruga hii taasisi?

Eti unakuta mtu ana namba za simu za ma EX wake kibao, kwenye FB huko ndo usiseme....program zao na events zao zinakuwa muhimu wakati mwingine kuliko hata za wanafamilia??

Tutaweza kujenga ndoa namna hiyo??
 
....mwaka 2012 uwe na heri na baraka kwako pia mkuu...
mwaka huu wa 2011 nimebahatika kupata ufahamu wa kutosha
ni mwanamke gani ndiye anayefaa kuolewa kuliko aliye na uzuri mwingine wowote...

...kasheshe candidates wanao fall katika category hiyo either ni nadra sana kupatikana,
la sivyo inabidi kuwasubiria waachwe na waume zao ambao ama kwa kutotambua thamani ya wanawake hao,
au sababu ya kutoyathamini haya uliyoyaelezea wanaendelea kuwanyanyasa kisaikolojia wanawake hawa ambao
u conservative wao unawafanya waone hata haya kudai talaka...

...pamoja mkuu, ngoja nikwepe kwanza madongo.,..nisijepewa jina baya ati navizia mke wa mtu...lol
happy new year!!!!
 
umenishtua sana
isije kuwa tunasubiri mke mmoja apewe talaka lol...
 
Ahsante kaka,

Sasa naomba unisaidie hapa...Haya mambo ya kuendekeza ma EX kwenye ndoa, tutadeal nayo vipi ili tuache kuvuruga hii taasisi?

Eti unakuta mtu ana namba za simu za ma EX wake kibao, kwenye FB huko ndo usiseme....program zao na events zao zinakuwa muhimu wakati mwingine kuliko hata za wanafamilia??

Tutaweza kujenga ndoa namna hiyo??

mkuu
mimi na ex wangu ambae ni mke wa mtu now
kani block facebook
nimemuuliza why? kasema kidume kimempiga marufuku
get it?
 
Lizzy,

Hizi ndoa ni ngumu sana....Tusiziogope na tusaidiane kuziimarisha,

Ndiyo ujumbe wangu kwa mwaka 2012!!

Babu DC!
Alright. . . .
Mi ntakua nawakumbusha kuwaheshimu, kuwajali, kuwathamini na kuwapenda kina bibi ili wasiwachoke na kukimbia.
 
umenishtua sana
isije kuwa tunasubiri mke mmoja apewe talaka lol...

...astaghafirullah, yaani katika yote wewe umeliona hilo la talaka pekee?
DC anatusihi tuziimarishe ndoa bana....

happy nyu yia mtani.
 
Mbu kama hutojali naomba ushee nasi huyo candidate anaefaa anakuaje?

...lol, wewe kuna page uliziruka za ile thread ya ndoa za zamani vs siku hizi ?
kuna makungwi kule wamemwaga sera za nguvu mno, hapa kichwa kinagonga kengele!
kawasome tena (in no alphabetical order) kina FaizaFoxy, AshaDii, MwanajamiiOne, Blaki Woman, na Lizzy
...kabla hajaanza kubishana na mbu kuhusu ukandamizwaji wa mwanaume.
 
Hahahahha, Mbu that's pretty unfair!!
Pamoja na kwamba nimesoma kila post kule siwezi kuona mambo kama uonavyo wewe kwahiyo naomba uwe muwazi zaidi. Unipe vigezo, ili vinavyofaa kujifunza tujifunze.
 
mbu take it from me
'you can never get the right advice on women from a woman'

Dark City amenielewa....
 
Hahahahha, Mbu that's pretty unfair!!
Pamoja na kwamba nimesoma kila post kule siwezi kuona mambo kama uonavyo wewe kwahiyo naomba uwe muwazi zaidi. Unipe vigezo, ili vinavyofaa kujifunza tujifunze.

Lizzy,

Unawekeza sana kwenye game hadi team inashindwa kukulipa mshahara...Siyo kila timu inaweza kumlipa Messi au Ronaldo!!

Anyway,

Naamini Mbu atakutendea haki!!
 
Hahahahha, Mbu that's pretty unfair!!
Pamoja na kwamba nimesoma kila post kule siwezi kuona mambo kama uonavyo wewe kwahiyo naomba uwe muwazi zaidi. Unipe vigezo, ili vinavyofaa kujifunza tujifunze.

...hapa mzee mwenzangu babu DC atanisaidia...maana naye yumo kwenye kuweka msisitizo wa haya ili kunusuru
majanga kwa kizazi hiki cha dot.com, ama sivyo ndio tunaangamia hivyo...

....tulisema turudi kwenye miongozo iliyobainishwa kwenye maandiko ya kiimani, kule tushapewa A-Z jinsi mke na mume wanavyopaswa kuishi ndani ya nyumba na kuzilea familia,....lakini maisha hayo pia yanategemeana na mabadiliko ya mila, desturi na tamaduni ya jamii inayokuzunguka.

...vijana wa kileo ukiwaambia hayo wanakwambia umepitwa na wakati,...unaleta mambo ya kizamani.
Tukasema fine, je...muongozo unaokubalika ndio huu uliotokana na maazimio ya Beijing kina mama kudai haki zao zinazopingana kwa kiasi kikubwa na maandiko, mila na desturi za mababu?....

....magwiji niliowataja awali kila mmoja akaja na uchambuzi wake jinsi tafsiri hiyo ya haki za wanawake ilivyopokelewa na kutumiwa vibaya na baadhi ya makundi ya wanawake waliokuwa na hasira na ndoa zao....

Magwiji hawa wa jamiiforum hawakuishia hapo, wakaendelea kuandika ili ndoa zidumu, nafasi ya mwanamke katika ndoa na familia iendelee kama mafundisho, mila na tmaduni zilivyotutaka. Mie na Excellent maskini ya mungu tukabaki kibarazani tunapiga soga baada ya hawa wazee kwenda kulala,

...ghafla bin vuu Lizzy ukaja tukurupusha na tofali ati tunatetea mila za ukandamizaji...hapana bana....maandiko yaliona mbali dear....lol..
 
Back
Top Bottom