khaaa,......
mkuu nilitoka kidogo kupekua habari nyingine zinazoendelea duniani nikakutana na kisa hiki;
what is happening? mimi ndio nayajua haya...tuhuma nzito, au mshawahi yajadili haya hapa jf?
Standard Mobile :: News - Kirima
Kwa kuanza mwaka hii yako imenigusa, maana ndoa za siku hizi mh,, kizungumkuti. Binafsi nimeguswa zaidi na namba 3 ya kujitoa kwa mwenzi , hasa hasa sehemu ya maelezo ya kwanza, kweli imenigusa sana maana mimi imenitokea, licha ya kuambiwa napendwa kwa karibu miaka 7 ya ndoa lakini swala la kujitoa kwake halikuwepo, zaidi zaidi ni malalamiko tuuu, as if alilazimishwa. Any way, namshukuru mungu maana maisha ni lazima yaendelee, ingawa ni ngumu kwangu.
Mzee umeongea mengi na ya Msingi.... Bahati mbaya kujua hayo ulotaja pekee haitoshi, yatakiwa wahusika ndani ya hio institution waweze cope na kujuana vizur.... Kusoma weaknesses and strengths, raha na karaha za mwenzio, kimpacho majonzi na furaha mwenzio among a lot of things vilivopo - vikiongozwa na ulio ainasha.
Kwa mwaka huu mpya I hope kila mmoja wetu atazingatia ulotuwekea hapa.
Heri ya Mwaka Mpya Mzee DC.
...nadhani kwenye nut-shell hapa unamaanisha uvumilivu,....haijalishi ni kwa ukubwa au udoigo gani
mfano;...usahaulifu, uongo, nk....au ulevi wa sigara/pombe,...nk
...heri ya mwaka mpya jamani...cheer up, it's only day two!
Uvumilivu is just one of the keys Mbu.... Tatizo ndoa ina funguo
nyiingi saana na zote gharama kuzipata. Ila ukizipata, it is worth it....
Am good dear... 2012 looks promising....:juggle:
...i know dearie, i know,....ila uvumilivu, kwa mtazamo wangu unachukua nafasi ya kwanza kuliko mapenzi kwenye hizi ndoa. Mapenzi yaweza kupungua au hata kutoweka, ila uvumilivu ukipungua na kutoweka athari zake ni kubwa zaidi.
Mbu... Where do we cross the line na Uvumilivu? Hasa kama yakuhusu mwenyewe as an individual.... Noamba niambie.... How long? aarrrggh!
Dearie,...uvumilivu wasababishwa na kumbukumbu nzuri....yaani kila uki reflect mlivyokuwa, unajipa moyo 'muujiza' kutokea ...mpaka pale utapokata tamaa kabisa,...the point of no return!
In most cases kwenye ndoa reminiscing is what keeps us going.... BUT hata hivo for how long would you live with the warm memories of cold reality.... Ni kweli kabisa hua Mapenzi huisha kabisa sometimes between spouses.... But then with time things come back to normal. Hasa pale ambapo kuna shida... na mpo indifferent it is Ok.... Tatizo huja pale hio indifference turns to hate taratiiiibu.... Hapo mie naona there is NO turning back! Sijui lakini... maybe am wrong.... Maybe Kweli ni Kujipa Moyo....:confused2:
....naomba mfano nikujibu...ukiruhusu chuki (hate) itawale kichwa chako, how can you reason right from wrong?
You can not.... But can you control it?
...sio rahisi kiviiile, but hey...it is 2012, lets turn these resentments into lessons learned.
People who've hurt and disappointed us have only managed to raise awareness about ourselves,...
...yaani bila kujaaliwa kukutana nao maishani leo nisingekuwa na ujasiri wa kuthubutu.
Mbu is carrying no excess luggage into 2012, no more grudges or resentments...i forgave all..
Mzee umeongea mengi na ya Msingi.... Bahati mbaya kujua hayo ulotaja pekee haitoshi, yatakiwa wahusika ndani ya hio institution waweze cope na kujuana vizur.... Kusoma weaknesses and strengths, raha na karaha za mwenzio, kimpacho majonzi na furaha mwenzio among a lot of things vilivopo - vikiongozwa na ulio ainasha.
Kwa mwaka huu mpya I hope kila mmoja wetu atazingatia ulotuwekea hapa.
Heri ya Mwaka Mpya Mzee DC.
...sio rahisi kiviiile, but hey...it is 2012, lets turn these resentments into lessons learned.
People who've hurt and disappointed us have only managed to raise awareness about ourselves,...
...yaani bila kujaaliwa kukutana nao maishani leo nisingekuwa na ujasiri wa kuthubutu.
Mbu is carrying no excess luggage into 2012, no more grudges or resentments...i forgave all..
Babu natumai hii thread ya wanandoa tu. Wajukuu ngoja tuchukue maujuzi.
Mbona nimesema huko nyuma kuwa nyie ni marehmu watarajiwa, kwa hiyo ruksa kutupa maoni yenu...Kwani huoni jinsi ambavyo Lizz ametupa wishes zake za kutosha??
Mzima lakini wewe?
Happy N/Year!!
Babu DC!!
mi mzima babu. Thread za ndoa ndoa huwa zinanipa kizunguzungu kuzisoma. Sijapitia kila post. Nikiingia kwenye ndoa nafikiri nitaanza sehemu nyingine ya maisha ila kikubwa nimpate atakaenipenda na mi nikampenda, yaani tupendane. Kutuita marehemu watarajiwa umemaanisha nini?