...lol,...waogopa ee?...angekuita maiti, mfu, etc yote ni marehemu mtarajiwa...anyway,
nilivyomuelewa mzee wetu hapa, ana maanisha kama kifo...ipo siku utaoa/kuolewa...
weye ni bi harusi mtarajiwa.
naogopa sana huo umarehemu mbu.
...i know dearie, i know,....ila uvumilivu, kwa mtazamo wangu unachukua nafasi ya kwanza kuliko mapenzi kwenye hizi ndoa. Mapenzi yaweza kupungua au hata kutoweka, ila uvumilivu ukipungua na kutoweka athari zake ni kubwa zaidi.
mi mzima babu. Thread za ndoa ndoa huwa zinanipa kizunguzungu kuzisoma. Sijapitia kila post. Nikiingia kwenye ndoa nafikiri nitaanza sehemu nyingine ya maisha ila kikubwa nimpate atakaenipenda na mi nikampenda, yaani tupendane. Kutuita marehemu watarajiwa umemaanisha nini?
...lol,...waogopa ee?...angekuita maiti, mfu, etc yote ni marehemu mtarajiwa...anyway,
nilivyomuelewa mzee wetu hapa, ana maanisha kama kifo...ipo siku utaoa/kuolewa...
weye ni bi harusi mtarajiwa.
...usijali dear, madhali tumezaliwa, kufa kupo...ila kwakuwa leo ni tarehe mbili january,
hesabu tuna siku nyingine 364 zimebakia panapo majaaliwa...
...utaolewa lini mamie, siku hazigandi!
...utaolewa lini mamie, siku hazigandi!
Hus,
Jipe moyo na uache kukimbia kivuli chako...piga ua, ipo siku utafanya uamuzi..ama kuzama mzima mzima au kuendelea na maisha ya bado nipo nipo kwanza..... Jitahidi basi upitie pitie ujipatie salio la kuanzia.....!!
Hapo kwenye blue, kama sie tunaoelea kwenye mashua ya ndoa tunaweza kuitwa maiti, basi na nyie ambao bado mpo mpo ni maiti watarajiwa......
Hapo vipi, imeeleweka??
Safi kabisa kaka,
Pia anaweza kuwa towashi mtarajiwa, mwizi wa waume za watu matarajiwa au mtarajiwa wa kukuoteza okoteza!!
Sijui kama kuna option nyingine, only time will tell!
hivi hizi ndoa za cku hizi ha2hubiriwi upendo tena bali uvumilivu?...mhhh juzi naongea na mama nyamayao naambiwa vumilia 2 mwanangu....hii vumilia ipo upande mmoja 2?....haya bwana...HAPPY NEW YEAR KWENU NYOTE...ngoja 2endelee kuvumilia.
Hahahahaha. . . .mi mtu akiniuliza namwambia "siku atakaponiletea mchumba."
Hivi kumuuliza hivi ndugu au rafiki ni sahihi kweli?
...usijali dear, madhali tumezaliwa, kufa kupo...ila kwakuwa leo ni tarehe mbili january,
hesabu tuna siku nyingine 364 zimebakia panapo majaaliwa...
...utaolewa lini mamie, siku hazigandi!
Lizzy, heri ya mwaka mpya.
dah! Nitakapokuwa tayari kuelekeza akili yangu na mawazo kwenye ndoa ndio nitajua naolewa lini....utaolewa lini mamie, siku hazigandi![/FONT][/SIZE][/COLOR]
huku 2naparangana kufa na kupona bado hao hao wanauliza haya maswali.....haya bwana, ndoa zilikuwa enzi hizo za sasa kama unataka pressure/kisukari karibu sana...huwaga nawahurumia wadada wa kileo jamani cjui mtayaweza?
Nadhani wanafanya hivyo kwasababu hata kama unampenda mwenzako kiasi gani, usipoweza kuvumilia madudu anayilokufanyia hakutakua na ndoa tena hapo. Ila ukiweza kumvumilia hata kama upendo "umeenda safari na haujulikani utarudi lini" bado mtabaki kuwa wanandoa hata kama huko ndani mtakua mnaact tofauti.[/QUO
wa2 2na act kina Kanumba cha mtoto...haya bwana ngoja 2subirie mpaka cku m2 utakapoamua kuamka asubuhi na kufungasha masalifeti yako...(when a woman is fed up)..inakera sana.
hivi hizi ndoa za cku hizi ha2hubiriwi upendo tena bali uvumilivu?...mhhh juzi naongea na mama nyamayao naambiwa vumilia 2 mwanangu....hii vumilia ipo upande mmoja 2?....haya bwana...HAPPY NEW YEAR KWENU NYOTE...ngoja 2endelee kuvumilia.
Ahsante. . . na wewe pia!!
heee bro! hus bado mdogo ucmkomaze na haya mandoa yenu ya kuvumilia mpaka ukamilifu wa dahari.