afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,150
- 9,255
mweee tuambie basi sababu,au uko kwenye mchakato..wa kumpata the one and only....?
swali zuri sana mwaya hata mie nasubiri jibu lol
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mweee tuambie basi sababu,au uko kwenye mchakato..wa kumpata the one and only....?
swali zuri sana mwaya hata mie nasubiri jibu lol
nini tena NN???
aaah basi tu nimekuona hapa nikaona nikuite nikupe hi tu....
kwema huko kwako lakini?
Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja....
Usimtie mwenzio ktk hatari...Ukikamatwa ujue nyumbani kwenu watakusahau...na bora uombe ukamatwe na polisi kuliko makaka au ndugu wa karibu, wao sheria mkononi....!!! ndugu bora uache uzinifu...Uzinifu ndio source ya Ufukara. Pesa unazochuma huko wakumbuke wazazi ..ndugu au marafiki au majirani zako ambapo wapo taabuni....Wewe sema domo lako zito tu kama zege grade 50.
Upo wapi huko? Hata Sudan, Afghanstan, Iraq etc watu wanakula mizigo kama kawa. I am talking from EXPERIENCE.
Kwa taarifa yako sasa, mademu waliobanwa na sharia kali ndo rahisi kutoa mzigo maana wanakuwa na hamu kubwa na hawana ujanja wa ''kukwepa mashambulizi''
Unless unauza kahawa hapa, sema UPO WAPI!
ukiwa mbali na uzinifu muda wote ...afya yako inakuwa imara na uso wako unaonekana una nawiri ...
mweee tuambie basi sababu,au uko kwenye mchakato..wa kumpata the one and only....?
Sababu kubwa ilikuwa ni kujiweka sawa na kufikia malengo yangu,na kwa sasa najiona niko tayari na nipo kwenye mchakato na mungu akinijaalia huenda mtarajiwa akatoka hapahapa JF,Umeridhika?
Afganistan...Toraborahsema uko wapi tu- for export only
hahahahahanyeto itakuwa imekumaliza bila shaka. Pole mwenzetu
![]()
just love me and i will do the same......
I have already done that baby, so I m waiting.
Ni muda wa mwaka mmoja sasa sijaweza kukutana na mwanamke hii inatokana na hali halisi na sehemu nilipo mila na Desturi zao ni kali. Siku za kwanza nilidhani nitapata hata demu mmoja wa kuweza kuchakachua! Lakini mwaka sasa unapita bila bila.
Naomba msaada kama kuna mtaalamu ninaweza kuwa mzima kama mwanzo hofu yangu kitu chochote usipokitumia basi uwezo wake wa kufanya kazi unapungua.Sasa kama kuna mtaalamu naomba anishauri nitakuwa bomba au ndio imekula kwangu?
nimeridhika....
mungu akutangulie katika huo mchakato....gooluck buddy!
Usimtie mwenzio ktk hatari...Ukikamatwa ujue nyumbani kwenu watakusahau...na bora uombe ukamatwe na polisi kuliko makaka au ndugu wa karibu, wao sheria mkononi....!!! ndugu bora uache uzinifu...Uzinifu ndio source ya Ufukara. Pesa unazochuma huko wakumbuke wazazi ..ndugu au marafiki au majirani zako ambapo wapo taabuni....
Hakuna Madhara yoyote ya kukaa mda mrefu bila kuzini ...ubora ni kuwa unakuwa mwenye afya nzuri....Wengi tunao hatujawahi "kuchovya" na tuna watoto kadhaa na wengine wanazidi kuja.....
ukiwa mbali na uzinifu muda wote ...Afya yako inakuwa imara na uso wako unaonekana una nawiri ...