Seth saint
JF-Expert Member
- Oct 27, 2020
- 2,262
- 5,885
unafiki mtupu 🐒Habari ndugu zangu,ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi.
Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake Ayubu.Poleni pia kwa ambao mlipoteza ndugu,jamaa,wazazi na marafiki.Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahala sahihi.
Mada yangu ilikusudia kumuuliza kiongozi wetu(Samia) vipi huko yeye anajisikia vizuri?Hivi waliokufa kipindi kile wangekuwa watu wake wa karibu angekuwa na amani?.Tukumbuke kitu tunaita golden rule:you shall treat others in the same way you would like them to treat you.
Samia ulikosea na hicho kiti mtakikalia kwa tabu sana maana ardhi inadai.Toba ya kweli itawaokoa siku zote huwa nawapa nini mfanye maana najua kilichopo mbele yetu
Anawaharibia wenzake pia watakaofuata.Ardhi inadaiChura kiziwi.
Ipo siku wataibuka walipa visasi na magaidi, askari mnaokaa mitaani wanakula kunywa na raia mtaona nchi chungu muda huo wananyea debe waliowatuma.Habari ndugu zangu,ni mwaka sasa toka ndugu na jamaa zetu watangulie mbele za haki baada ya matukio ambayo hayakuwa ya kiungwana yaliyotokea baada ya uchaguzi.
Poleni kwa ambao mali zenu ziliharibiwa,Mwenyezi Mungu atawafanyia wepesi mpate mara saba zaidi kama ambavyo ilikuwa kwa mtumishi wake Ayubu.Poleni pia kwa ambao mlipoteza ndugu,jamaa,wazazi na marafiki.Mwenyezi Mungu azilaze roho za marehemu pahala sahihi.
Mada yangu ilikusudia kumuuliza kiongozi wetu(Samia) vipi huko yeye anajisikia vizuri?Hivi waliokufa kipindi kile wangekuwa watu wake wa karibu angekuwa na amani?.Tukumbuke kitu tunaita golden rule:you shall treat others in the same way you would like them to treat you.
Samia ulikosea na hicho kiti mtakikalia kwa tabu sana maana ardhi inadai.Toba ya kweli itawaokoa siku zote huwa nawapa nini mfanye maana najua kilichopo mbele yetu
Siku itafikaIpo siku waibuka walipa visasi na magaidi, askari mnaokaa mitaani wanakula kunywa na raia mtaona nchi chungu muda huo wananyea debe waliowatuma.
Hata magaidi kwenye nchi za wenzetu ni wale waliokataa kukaa kinyonge na kukaataa kuonewa
Basi sawa lakini wakati wa Mungu utafika tu majibu tutayaona.Kifo ni kifo
Kiongozi wa hovyo naweza kusema.Rasimali watu inapotea kizembe hiviSa100 ametuharibia nchi yetu
Kabisaaaa. Hamna binadamu aliyeishi milele hukumu yake inaanziaga hapaSiku itafika
Kifingo chake kinaweza kuwa cha milele asipofanya toba.Alikosea pakubwaYuko kifungoni,
Hata mwanza tu haezi kwenda
Mungu ni mwema wakati woteTumaini la wahanga wa yaliyotokea lipo Kwa alietuumba nina Imani hatanyamaza atatenda Kwa wakati wake, ogopa Sana mwafrika akikuambia anamuachia Mungu.
Na mpaka leo wote wamekalia viti na wanakula mishahara na posho, na kumsifu mtukufu kwa kazi njema. Laana hii itakula mpaka watoto na wajukuu zaoKiongozi wa hovyo naweza kusema.Rasimali watu inapotea kizembe hivi
Hicho kiti hakitakalika labda toba ifanyike lakini na huyu safari yake itakuwa inafika ukingoni muda si mrefuNa mpaka leo wote wamekalia viti na wanakula mishahara na posho, na kumsifu mtukufu kwa kazi njema. Laana hii itakula mpaka watoto na wajukuu zao
AmenHicho kiti hakitakalika labda toba ifanyike lakini na huyu safari yake itakuwa inafika ukingoni muda si mrefu