Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2013
Posts
10,931
Reaction score
24,816
Jana nimemwambia My girlfriend. Kuwa sitokuwa tayari kuendelea kuwa naye. Hivyo nam release. Ili mimi nikatafute changamoto nyingine.

Amelalamika na kulia sana. But nimemwambia sina namna. Nimemuuliza kama yupo tayari tuendelee kuwa pamoja ila asitegemee niwe nampa pesa. Amenyamaza hajajibu hiyo text. Ni kama hajaiona. Ila anataka tuendelee kuwa pamoja.

Kiukweli mimi mwaka huu malengo ni kutokuhonga hata thumni.

Unanipenda, Ninakupenda, Tunapendana, Tunapeana.

sitaki shida. Una baba yako nami ninaye wangu. Tukutane kwenye kupeana tu. Shida zako kaa nazo nami zangu nakaa nazo.
 
Naona ndio pigo zenu mpya he heeee Bora tuachane tu jamani
 
Kwenye mahusiano pesa sio lazima ila ni muhimu.
 
Kama nawaona kausha damu walivyonuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…