Mwaka umeanza vibaya. Inauma ila hamna namna.


Una hoja usikilizwe
 

Sasa kama hana baba je?
 
Kuna comment hapo juu inasema love is for the weak , kama inakuja hivi afu inakataa.
 
Mkuu huu Mwaka tukisema tuende na huu Msimamo tutatoboa sana
 
Naona ndio pigo zenu mpya he heeee Bora tuachane tu jamani

Huyu si ndiye anajiita kuwa anamisimamo ya kiume.
Kama anashindwa na demu wake kwa sababu ya kitoto kama hiyo uanaume uko wapi?

Ndio shida ya vizalia vya mambumbumbu, ukiyakuta yanamaneno na kasumba za kizamani lakini kwenye majukumu ya kiume yapo Zero

Sasa zenu unayempenda kumtunza nayo ni sababu ya kuvunja mahusiano tangu lini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…