Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

Tukishindwa kutoboa, atleast tufahamiane na watu muhimu. Connection inaweza kukupa hela, ila hela inaweza isikupe connection. Tujitahidi kufanya Yale waliyoshindwa wazazi wetu [emoji120]
Amen
 
Congrats,Namba 7 inategemea na ulienae anakusapoti vp,wapo wanaume walikuwa makapuku lakini wanawake wamewafikisha hapo walipo.
all in all the best advice.
 
Sijasoma ulichoandika ila kwa kweli nmependa sana ulichokiandika hakika vijana tukifata alichokiandika mtoa mada tutafika mbali sana, nimependa hapo uliposema 'tusisahau kufanya mapenzi' hakika ni jambo jema.
[emoji2297][emoji2297][emoji28] dah wewe jamaa
 
Ushauri kuntu.... lakini kwangu mm umenikumbusha kuhusu unyenyekevu na kujishusha. Mzee wangu once said kuna nguvu kubwa kwenye unyenyekevu au kujishusha.
Ila usijishushe sana mpka ukadharaulika na wewe
 
Noted

One of the best thread for this year
 
Congrats,Namba 7 inategemea na ulienae anakusapoti vp,wapo wanaume walikuwa makapuku lakini wanawake wamewafikisha hapo walipo.
all in all the best advice.
Ofcourse inategemea, ila kipindi cha upambanaji, wengi huwa wanahitaji support/faraja maana changamoto ni nyingi.
 
Reactions: Sax
Ushauri kuntu.... lakini kwangu mm umenikumbusha kuhusu unyenyekevu na kujishusha. Mzee wangu once said kuna nguvu kubwa kwenye unyenyekevu au kujishusha.
Mwanadamu anapenda sana kunyenyekewa, so ukiwa na moyo huo, utatoboa sehem nyingi
 
Thread bora kabisa. Naongezea namba 5&7

Hiyo namba 5 sio JF pekee hata mitandao mingine ya kijamii kama Whatsapp, Instagram na Facebook tume makini sana tunajijengea CV kutokana na tunachopost. Wengine wanahisi CV ni kwa ajili ya kazi pekee hapana hata michongo ya pesa pia inahusika kama wasifu wako ni mzuri wakati mwingine hata kujenga mahusiano ya kimapenzi huanzia huko. Tuwe makini katika kujenga CV zetu mitandaoni.

Hiyo namba 7 ni kweli kabisa. Nimetoka kumbwaga binti mmoja muhitimu wa chuo kikuu mojawapo cha DSM naona ananiletea mauzauza tu. Unajipa moyo urekebishe hili anakuja na hili yan hakutulii kabisa nikaona huyu atakuja kuleta mfadhaiko wa moyo wangu nimepiga chini cha ajabu eti anaonesha kuumia na wakati najua hata hajali kuna jamaa mwingine ndio anatoa pesa(boss wake for sure)

Vijana tuwe makini, tuongeze juhudi, tujifunze kutofautisha ku enjoy ujana na kuumaliza ujana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…