Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hzo kazi za laki 3/4 ukipata sku nyngne naomba nipasie mkuu.Umemaliza kila kitu japo sijapitia hustle zozote ila nisipo badilika naona nitaharibu CV yangu na watu washindwe kunisaidia ninapokwama maana sio muda wote familia itanishika mkono maana ndio kwanza naingia mtaa kuanza kupambana.
KUNA MAMBO INABIDI NIBADILISHE
[emoji3] Nina jeuri fulani hivi ya kuwachukulia poa watu, sijali yoyote.
[emoji3] Kuhonga wanawake na kutumia pesa hovyo kwa kujifariji kua tunaishi mara moja, hapa inbidi nibadilike sana maana.
[emoji3] Mahusiano serious yoyote sijawahi dumu nayo lazima tuvurugane tu, maana kuna muda umepata ka ishu mkoa ukakapige labda miezi kadhaa anaanza maneno usiende yeye atabaki na nani.
[emoji3] Uaminifu ninao sinaga tamaa na mali ya mtu sema tatizo ni kulingana na misimamo yangu isio na maana(sina kazi halafu nachagua sana kazi, nazikataa kazi zenye mishahara ya laki 3/4) naonekana kama mhuni fulani hivi jeuri sana.
[emoji3] Mitandao ya kijamii kuposti ujinga ujinga mwingi hasa status za WhatsApp naweka ninachojisikia kuna muda nilikua naambiwa kabisa sema najibu jeuri.
Ubarikiwe mkuu huu uzi umeuleta wakati muafaka kabisa maana ulivyo viandika nilikua katika mchakato wa kuvifanyia kazi baada ya kupewa ushauri kutoka kwa sister ni kama kakutuma uje upigilie msumari.
Sijasoma ulichoandika ila kwa kweli nmependa sana ulichokiandika hakika vijana tukifata alichokiandika mtoa mada tutafika mbali sana, nimependa hapo uliposema 'tusisahau kufanya mapenzi' hakika ni jambo jema.
Watu tunaotakiwa kuwaweka karibu, huwa tunawatenga. Na wale ambao tunatakiwa kukaa nao mbali, ndio huwa tunawakumbatiaHalafu sijui nani anawapotosha vijana, kusoma ni kufanikiwa.Kufaulu Maisha ni free race ni SAwa na mbio za marathon.
Madini nimeyapata mengi sana ht kabla ya huo uzi kuja, hvy ht nikisoma hakuna jipya ntakalopataHujasoma alichokifanya mwenzetu Sasa umejuaje Kama alichokiandika Ni kizuri? Rudi tu ukasome maana huo Uzi umejaa madini tupu aisee!
Itaje kwa uchacheKila mwaka tunakumbushana lakini matokeo yake ni yaleyale.
Nadhani tujaribu aina nyingine ya mipango.
Broh, hivi unajua kuna baadhi ya wanawake/wanaume kila anayeingia nae kwenye mahusiano huwa anamchukulia ni mpenzi wa ndoto zake?Umeandika vyema ila namba.7 sikubaliani na wewe.Ukiwa kama kijana mpambanaji na mwenye malengo,kama binadamu unapaswa kuwa na mwenza mpambanaji mtakayeinuka pamoja kuyafikia mafanikio.Hata ukiwa masikini unastahili mwenza ambaye mtasaidiana kiakili.Pia kama mwanaume utahitaji familia yako.Je utasubiri mpaka miaka 50 ukifanikiwa ndio utafute mke na familia?
Tunakosa focusuzibora wamwaka huu naujao. kinacho watesa vijana ni tamaa wakiweza kishinda tamaa Basi watafanya mambo kwautulivu mkubwa sana na ndipo watakapo fanikiwa. ila kwasasa wanna mapepe mengi mtu anatamani nyumba Kali kazi yamaana hana anashinda kijiweni.
Vichwa vimejaa mapenzi 😅😅Vijana hawafanikiwi sababu wanawaza ngono mda wote, we cheki uzi za ngono zinavyokimbia kuliko uzi za positive changes. Ngono na umasikini vinaendana maana nyuma ya UCHI kuna KIFO cha kiroho na kiuchumi pia.
It's a matter of selection mkuu. Kila mtu anaangalia akipendachoUzi ni mzuri shida wabongo wakiangalia tu heading awagusi post mada za ngono uone uzi utakavyokimbia. Taifa la vijana masikini uwaza ngono mda wote na umasikini ni sehemu ya maisha yao
Mapenzi yanaleta umasikiniVichwa vimejaa mapenzi 😅😅
Maarifa ya Maendeleo yote yapo Youtube mtu anaona bora akanunue malaya na sio bando.Taarifa ni kitu vital katika kila tunachotaka kufanya. Ila bahati mbaya ,hatukupagi kipaumbele