Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

#6 haupo sawa mkuu pamoja na umejitahidi kuongea vyema, naomba uamini kwamba uchawi upo na una nguvu na unaweza kuvuruga maisha ya mtu mbaya kabisa, binafsi hapa ni mmoja kati ya watu ambao wanapitia hiyo hali na Nina hakika nayo kwa 98%
 
Sijasoma ulichoandika ila kwa kweli nmependa sana ulichokiandika hakika vijana tukifata alichokiandika mtoa mada tutafika mbali sana, nimependa hapo uliposema 'tusisahau kufanya mapenzi' hakika ni jambo jema.
Aisee wapare ni shida sana
 
Vijana huwa tunachagua wapi pakubehave vizuri, ila sehem nyingi tunaletaga ununda. Zali hutokea popote, ni heri kuwa mpole tu.

Ila pamoja na ununda, mapenzi huwa yanatuendesha sana. Tunafanya decisions nyingi za ovyo
 
#6 haupo sawa mkuu pamoja na umejitahidi kuongea vyema, naomba uamini kwamba uchawi upo na una nguvu na unaweza kuvuruga maisha ya mtu mbaya kabisa, binafsi hapa ni mmoja kati ya watu ambao wanapitia hiyo hali na Nina hakika nayo kwa 98%
Binafsi sijawahi kutana na Mazingira ya hivyo. Ila all in all, kuna kupanda na kushuka, sometime mambo yanaenda vizuri, sometime yanagoma.

Sijajua situation yako ipoje, ila nikupe pole mkuu
 
Uaminifu ndio chanzo cha wengi kutofanikiwa. Weupe wote uaminifu kwao ndio chanzo cha kufanikiwa kwao
 
Halafu sijui nani anawapotosha vijana, kusoma ni kufanikiwa.Kufaulu Maisha ni free race ni SAwa na mbio za marathon.
 
Ulimwengu umebadilika Ili ufanikiwe unahitaji zaidi taarifa na sio vyeti. Rundo la vyeti sio garantii ya kufanikiwa
 
Umeandika vyema ila namba.7 sikubaliani na wewe.Ukiwa kama kijana mpambanaji na mwenye malengo,kama binadamu unapaswa kuwa na mwenza mpambanaji mtakayeinuka pamoja kuyafikia mafanikio.Hata ukiwa masikini unastahili mwenza ambaye mtasaidiana kiakili.Pia kama mwanaume utahitaji familia yako.Je utasubiri mpaka miaka 50 ukifanikiwa ndio utafute mke na familia?
 
uzibora wamwaka huu naujao. kinacho watesa vijana ni tamaa wakiweza kishinda tamaa Basi watafanya mambo kwautulivu mkubwa sana na ndipo watakapo fanikiwa. ila kwasasa wanna mapepe mengi mtu anatamani nyumba Kali kazi yamaana hana anashinda kijiweni.
 
Waambie waache kufira watoto wa watu,kuna mabalaa mengi na laana za kutosha.
 
Vijana hawafanikiwi sababu wanawaza ngono mda wote, we cheki uzi za ngono zinavyokimbia kuliko uzi za positive changes. Ngono na umasikini vinaendana maana nyuma ya UCHI kuna KIFO cha kiroho na kiuchumi pia.
 
Uzi ni mzuri shida wabongo wakiangalia tu heading awagusi post mada za ngono uone uzi utakavyokimbia. Taifa la vijana masikini uwaza ngono mda wote na umasikini ni sehemu ya maisha yao
 
Umemaliza kaka....kuhusu elimu kueka pembeni ni swala ambalo vijana wengi wanafeli hilo SoMo. Nilikua nafanya sehemu kibarua nalipwa 5k per day na yule jamaa Hakuwahi kufahamu kiwango Cha elimu yangu kwa muda mrefu.sikumwambia wakati naenda kuomba Kaz kwa sababu wasomi wanaonekana wanachagua kazi na hua hawadumu kweny vibarua. Siku alikuja jamaa angu kuniulizia na hakunikuta, katika maongezi Yao wakati akinisubiri akajikuta anamwambia kuhusu elimu yangu,huwezi amini jamaa alikataa mpaka niliporudi ndo akaniuliza na hakuamini, akaniunganisha na ndugu yake ambaye anafanya taasisi kubwa lakin Mambo hayakwenda vizuri. Aliniambia kwa elimu yako hukupaswa kua hapa na alikua ananilipa 7k baada ya hapo huku wenzangu wakibaki na 5k. Alifunga biashara lakin mpaka Leo tunawasiliana akinipa moyo nitafanikiwa
 
Vijana huwa tunachagua wapi pakubehave vizuri, ila sehem nyingi tunaletaga ununda. Zali hutokea popote, ni heri kuwa mpole tu.

Ila pamoja na ununda, mapenzi huwa yanatuendesha sana. Tunafanya decisions nyingi za ovyo
Sana mkuu yan unyenyekevu na hekima ya kimaamuzo ni jambo la msingi hasa hizi nyakati ambapo bado tunashape future yetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umemaliza kila kitu japo sijapitia hustle zozote ila nisipo badilika naona nitaharibu CV yangu na watu washindwe kunisaidia ninapokwama maana sio muda wote familia itanishika mkono maana ndio kwanza naingia mtaa kuanza kupambana.

KUNA MAMBO INABIDI NIBADILISHE

[emoji3] Nina jeuri fulani hivi ya kuwachukulia poa watu, sijali yoyote.

[emoji3] Kuhonga wanawake na kutumia pesa hovyo kwa kujifariji kua tunaishi mara moja, hapa inbidi nibadilike sana maana.

[emoji3] Mahusiano serious yoyote sijawahi dumu nayo lazima tuvurugane tu, maana kuna muda umepata ka ishu mkoa ukakapige labda miezi kadhaa anaanza maneno usiende yeye atabaki na nani.

[emoji3] Uaminifu ninao sinaga tamaa na mali ya mtu sema tatizo ni kulingana na misimamo yangu isio na maana(sina kazi halafu nachagua sana kazi, nazikataa kazi zenye mishahara ya laki 3/4) naonekana kama mhuni fulani hivi jeuri sana.

[emoji3] Mitandao ya kijamii kuposti ujinga ujinga mwingi hasa status za WhatsApp naweka ninachojisikia kuna muda nilikua naambiwa kabisa sema najibu jeuri.

Ubarikiwe mkuu huu uzi umeuleta wakati muafaka kabisa maana ulivyo viandika nilikua katika mchakato wa kuvifanyia kazi baada ya kupewa ushauri kutoka kwa sister ni kama kakutuma uje upigilie msumari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…