Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

Brother mleta mada heshima kwako , umeeleza kwana sana na kila mwenye ufahamu anapaswa kuzingatia , huwa ninaamini sana katika mada kama hizi zaidi na zaidi huwa haziniachi kama nilivyo zinanilngezea vitu vingi sana, hongera sana.

Yote ya yote nina vitu ningependa kujua kutoka kwako ila kwa sasa sina utulivu, nikitulia nitajurejelea brother hata kwa private messege .

Natanguliza shukurani.
 
Pamoja mkuu
 
Bless up!
Kilichobaki sasa hivi ni kutafta a serious accountability partner ili mipango ianze kutekelezeka
 
Mwenyezi Mungu akubariki sana na kiukweli nimejifunza somo zuri na umenifumbua macho niangaze mbali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umetisha sana mwamba
 
Nimependa hapo ulipoandika wazazi wetu hawakuwa na koneksheni ya maisha mazuri, tujitahidi kuikata hii Chain ya Umaskini.

Uzi bora wa kufungia mwaka, umekuja wakati mwafaka.
Shukurani sana kwa kutumia muda wako kuandaa madini .
Nipo nyuma yako bro nakuunga mkono ,,

Uzi Bora wa Mwaka...
 
Bandiko zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…