Mwaka unaisha, kama vijana yafaa kuwekana sawa. Tunahitaji kuanza upya

Uzi bora wa kufungia mwaka.
 
Daaah mwamba umetohoa sana, napata taabu kuamini kuwa uliishia form 4 kama simulizi zako na yale mashangazi na msure wako au baadae ulijiendeleza? Au ni Elimu mtaa, aisee tuna mengi ya kujifunza. Asante sana kwa huu ujumbe, barikiwa.
 
Mkuu ubarikiwe sana,Mimi Kwa upande wangu iyo namba 2 inanihusu.
Mimi nna vipaji vingi sana naweza kuimba naweza kuhubiri naweza kufundisha yaani naweza vitu vingi sana,ila nikiwa mbele ya hadhira yaani kwenye kundi la watu basi tayari kwangu ni tatizo.nimekosa fursa nyingi sana kisa nna aibu sana [emoji848][emoji848]
 
Daaah mwamba umetohoa sana, napata taabu kuamini kuwa uliishia form 4 kama simulizi zako na yale mashangazi na msure wako au baadae ulijiendeleza? Au ni Elimu mtaa, aisee tuna mengi ya kujifunza. Asante sana kwa huu ujumbe, barikiwa.
Tuna mengi sana ya kujifunza mkuu
 
Aibu ni adui yetu mkubwa, anaturudisha nyuma kichini chini. Ila 2023 utakuwa mwaka wa tofauti kwetu wote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…