Mwaka unaisha nimezalisha wanawake watatu sasa nina watoto 15

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
20,925
Reaction score
51,688
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia.

Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu.

Tufyatue tu jamani.
 
Mwaka wangu huu,nimepiga hat trick nipeni mpira wangu.
Asante sana Monica,Alice na Somoe kwa kunizalia
Sasa nimefikisha watoto 15
Nashukuru kojo langu huwa halidanganyi sura ngumu kama yangu.
Tufyatue tu jamani
Chama chetu kitawasomesha bure
 
Taifa la kesho hili, utakuwa na Uzee Mgumu sana wewe
 
Kama hela yupo, fyatua ata 30 waache hao matajiri wanaozaa mtoto 1 wakati wana miradi karibu mianane (huo ni ubinafsi)
 
Mbona sisi wengine matokeo zero..shida nini wakuu athari za nyeto au k veve
 
Mwaka wangu huu, nimepiga hat trick nipeni mpira wangu. Asante sana Monica, Alice na Somoe kwa kunizalia.

Sasa nimefikisha watoto 15, nashukuru kojo langu huwa halidanganyi, sura ngumu kama yangu.

Tufyatue tu jamani.
Fyatua tu, ila hakikisha kila unayemfyatua unamtengenezea njia(misingi) ya kujikwamua.
 
Back
Top Bottom