Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nope mifumo is everything, mtu anakuja na kupita, kama ilivyokuwa kwa JPM but mifumo imara is there to stay...Hii nchi inahitaji mtu sio mifumo. Mifumo ilishafeli.
Sent from my SM-A225F using JamiiForums mobile app
Nikiskiaga kauli ya anaupiga mwingi sielewagi kwakweli. Foleni tu ya kutoka ubungo hadi kimara,na kutoka maeneo ya mlandizi hadi kibaha ni ishara tosha ya uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia licha ya kuoneshwa njia na mtanguliziNope mifumo is everything, mtu anakuja na kupita, kama ilivyokuwa kwa JPM but mifumo imara is there to stay...
Nafikiri Mwendokasi ata tumia barabara ya pembeni huku kwenye vituo vya kawaida vya daladala, ile barabara ya kati kati ambazo tulitegemea iwe barabara ya Mwendokasi itakuja kuwa barabara ya express way yaani moja kwa moja hakuna simama katikati, kama ni kuanzia kimara basi mpaka kibaha hakuna kusimama hapa katikati, full speed mwanzo mwishoPlan ya mwendokasi haihusu barabara hiyo, Mkandarasi alijiongeza bila plan na kuweka mfano WA barabara ya mwendokasi ila Sio plan halisi, hii barabara imejengwa bila michoro husika na Ina mapungufu mengi ya kiuhandisi