Nikiskiaga kauli ya anaupiga mwingi sielewagi kwakweli. Foleni tu ya kutoka ubungo hadi kimara,na kutoka maeneo ya mlandizi hadi kibaha ni ishara tosha ya uwezo wetu wa kufikiri ulipoishia licha ya kuoneshwa njia na mtangulizi
Plan ya mwendokasi haihusu barabara hiyo, Mkandarasi alijiongeza bila plan na kuweka mfano WA barabara ya mwendokasi ila Sio plan halisi, hii barabara imejengwa bila michoro husika na Ina mapungufu mengi ya kiuhandisi
Nafikiri Mwendokasi ata tumia barabara ya pembeni huku kwenye vituo vya kawaida vya daladala, ile barabara ya kati kati ambazo tulitegemea iwe barabara ya Mwendokasi itakuja kuwa barabara ya express way yaani moja kwa moja hakuna simama katikati, kama ni kuanzia kimara basi mpaka kibaha hakuna kusimama hapa katikati, full speed mwanzo mwisho