Tetesi: Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara

Tetesi: Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa nne bilabila kavkav hivi hiki walichofanyiwa watumishi wa umma wangefanyiwa jw au policcm hali ingekuwa hivihivi?

funzo: mwambie mapema mwanao aliyefomu wani aachane na kazi kama za ualimu ni kazi za kipumbavu mwalimu anaweza kufokewa na diwani au mtendaji Kata lakini mtendaji Kata hawezi kumfokea jw ndio maana hata wanaogawa keki ya taifa wanaamua mwalimu anyimwe jw apewe!!
 
Solution waambieni watoto wenu sio kila kazi ni ya kukimbilia zama hiz tafuteni kazi kwenye vyombo vya ulinzi na usalama huko Hakuna uonezi tunakula pasu kwa pasu na wanasiasa mwalimu ni grade ya chini katika utumishi wa umma hasa wa msingi poleni Sana!!
 
Waalimu wamefanya kazi kubwa sana hapa nchini ila bado wana nyota ya punda.
wanasiasa hawalioni hilo nawashauri waalimu shawishini watoto wenu wajiunge na jwtz baada ya elimu zao huko Hakuna pua ya mwanasiasa inayosogea hata diwani atakuamkia shkamoo
 
Tembea Kifua Mbele Hakuna Majizi
Light Track
Acha Uchochezi Kuichonganisha Serikali Ya Viwanda Na Wananchi
 
wanasiasa hawalioni hilo nawashauri waalimu shawishini watoto wenu wajiunge na jwtz baada ya elimu zao huko Hakuna pua ya mwanasiasa inayosogea hata diwani atakuamkia shkamoo
Waalimu wametaka wenyewe acha wale chaki.
 
Jw ndio nini!!!!

Nyie si ndio mnaponda humu kwamba hawajitambui wanakubali kubeba korosho!!!!

Piganieni haki zenu bila kutikisa za wengine,watu wa kariba hiyo wamejitoa kufa kwao isiwe habari ili nchi iwe salama.
 
we jitoe ufahamu tuuu! huko kusini hawataki kuskia wala kuwaona hata hao wanajesh! watu wamekula christmas bila ela yao kusingizia uhakiki! Mungu anawaona
 
Duh...!
Kama ni kweli poleni sana watumishi wa umma.
Endeleeni kuchapa kazi kizalendo ili kulijenga taifa.
Itafika mda mtakumbukwa maslahi yenu.
 
we jitoe ufahamu tuuu! huko kusini hawataki kuskia wala kuwaona hata hao wanajesh! watu wamekula christmas bila ela yao kusingizia uhakiki! Mungu anawaona

Serikali ilikusidia kununua korosho kwa wakulima,baada ya nyinyi wanasiasa njaa,kuutangazia umma kwa wakulima korosho zimewadodea,kumbe wanaolalamika sio wakulima,bali walanguzi baada ya kuwalalia wakulima kwa bei za kihuni.

Sasa hata wewe nikwambie,hakuna dhuruma inayokwenda kwa haki,ukidhurumu utatumiwa wa kukudhurumu njiani uoendako.
 
Poleni sisi wanajeshi tunalipwa vizuri hii ni kutokana na fadhila baada ya chaguzi kwana tumekua tukishiriki kuirudisha mafarakani has a kule zenji !!! Tunalipwa
Mshahara mnono
Posho tar 5 ya kila mwezi
Posho tar 15 ya kila mwezi
Madalala hatulipi
Posho ya kondom dume
Posho ya umeme
Posho ya maji
Posho ya magazeti
Eti nasikia walimu hata house allowance hakuna duu sijui mnaishije
Kidumu chama cha mapinduzi
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu ni miaka 3 hakuna ongezeko la mishahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa.
 
nchi karibu zote duniani wanajeshi huwaga wanalipwa vizuri.. sababu kazi yao ina risk kubwa...

kwenda vitani huku wewe umelala na mkeo sio kazi ndogo
 
Back
Top Bottom