Lakini watumishi wenyewe they do not bother, yapo yapo tu kama matutusa!Watumishi wa umma wanaingia mwaka wa nne bilabila kavkav hivi hiki walichofanyiwa watumishi wa umma wangefanyiwa jw au policcm hali ingekuwa hivihivi?
funzo: mwambie mapema mwanao aliyefomu wani aachane na kazi kama za ualimu ni kazi za kipumbavu mwalimu anaweza kufokewa na diwani au mtendaji Kata lakini mtendaji Kata hawezi kumfokea jw ndio maana hata wanaogawa keki ya taifa wanaamua mwalimu anyimwe jw apewe!!