wanasiasa hawalioni hilo nawashauri waalimu shawishini watoto wenu wajiunge na jwtz baada ya elimu zao huko Hakuna pua ya mwanasiasa inayosogea hata diwani atakuamkia shkamooWaalimu wamefanya kazi kubwa sana hapa nchini ila bado wana nyota ya punda.
Waalimu wametaka wenyewe acha wale chaki.wanasiasa hawalioni hilo nawashauri waalimu shawishini watoto wenu wajiunge na jwtz baada ya elimu zao huko Hakuna pua ya mwanasiasa inayosogea hata diwani atakuamkia shkamoo
wanajeshi wanapanda vyeo.kama kawaida na mishahara inapanda kama kawaida! wao wanakuka bata tuuu! labda muda wa kazi ndo umeminywa!.Kwani hata wao hiyo nyongeza wameipata
we jitoe ufahamu tuuu! huko kusini hawataki kuskia wala kuwaona hata hao wanajesh! watu wamekula christmas bila ela yao kusingizia uhakiki! Mungu anawaonaJw ndio nini!!!!
Nyie si ndio mnaponda humu kwamba hawajitambui wanakubali kubeba korosho!!!!
Piganieni haki zenu bila kutikisa za wengine,watu wa kariba hiyo wamejitoa kufa kwao isiwe habari ili nchi iwe salama.
we jitoe ufahamu tuuu! huko kusini hawataki kuskia wala kuwaona hata hao wanajesh! watu wamekula christmas bila ela yao kusingizia uhakiki! Mungu anawaona
Kwani hata wao hiyo nyongeza wameipata