Tetesi: Mwaka wa 4 watumishi wa umma bila nyongeza ya mshahara

Mambo ya kusema ualimu Ni kazi ya kipumbavu mi naona muda mwingine uwe unatumia busara ,kuliko kudharau kazi ya mtu ambayo inamuwezesha yeye kuhudumia familia yake .

Kwani wewe mtoa mada kazi yako Ni ipi?
 
Acha ufala kudharau Kaz za watu hyo Kaz ndio inayo mfanya mkeo atoe mzigo kwa jamaaa jiran yako

kilicho akilini kitumie
 
Tumeipenda Wenyewe Wala Hatukuandikiwa Barua Acha Ituue!!!πŸ˜€πŸ˜πŸ˜‚πŸ˜…πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…