Restless Hustler
JF-Expert Member
- Apr 9, 2017
- 5,150
- 20,025
HahahaHii app nimeificha kwenye simu
Kwanini sasaHii app nimeificha kwenye simu
Nimeishi mikoa na majiji mbalimbaliUpo wapi Kwan
Miye najuaHakuna anayejua km natumia JF, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna mdada tulikuwa naye kwenye 'mnuso' jinsi anavyo ongea/changia mambo mbali mbali katika mazungumzo moja kwa moja nikamfahamu.Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.
Nikajiuliza iwapo ni kweli au wanaficha privacy zao. Je, uliwahi kumuona mtu live akitumia JamiiForums?
Leo nimejaribu kuwauliza colleagues Kama wanufahamu, wote walikiri kuufahamu lakini wakasema hawautumii.Ni mwaka wa ku 9 tangu Nilipoanza kuutumia huu mtandao lakini sijawahi kukutana na mdau wa mtandao huu.