Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,655
- 2,506
Startup kadhaa za Bongo katika miaka ya karibuni zilianzishwa kwa kupata funding kutoka kampuni za Venture Capital (VC) Marekani, kabla ya mfumuko wa bei (inflation) iliyotokea hivi karibuni interest rate ya banki Marekani ilikuwa karibia 0% hii ilikuwa na effect mbili, kwanza kukopa ilikuwa karibia bure so risk ni ndogo kuchukua mikopo kisha kuwekeza kokote kule, ili mradi irudishe zaidi ya 0% unakuwa umepata chochote, pili na labda muhimu zaidi ni kwamba kuweka hela kwenye savings account kulikuwa hakuna matarajio ya faida yoyote (0% interet) jumlisha hayo pamoja na ukuaji wa tathmini (valuation) ya thamani ya startups nyingi kipindi hiki, startups ambazo hazikuwahi kutengeneza profit yoyote zilipewa tathmini ya mabilioni kwa matarajio ya profit baadae.YYote hayo yalileta mafuriko ya pesa za investors kuwekwa kwenye VC funds kukimbiza matarajio ya faida kubwa.
Sasa mambo yamebadilika kwa kiasi kikubwa, interest rate inakaribia 5% hizi ni jitihada za kupunguza inflation na bado inaelekea itaongezeka zaidi mwaka huu. Hii maana yake ni kwamba unaweza kupata growth ya 5% bila risk yoyote kwa kuweka hela benki kufananisha na 0% ya awali, so unahitaji at least 5% ya uhakika kupeleka hela zako sehemu yoyote.
Na pia riba ya kukopa imeongezeka, hakuna hela za bure tena, ni risk zaidi kuchukua mkopo kupeleka kwenye VC funds.
Yote haya yanakuja na hali ya sintofahamu kwa ujumla kwenye sekta ta tech marekani, mtakua mmeona kampuni kubwa za Google, Microsoft, FB etc zimefukuza maelfu ya watu kazi kwa wanachodai ni kupunguza gharama.
Hii inaleta hali ya hatari kwa startups zote zinazotegemea VC funds, VCs sasa wanakuwa wagumu zaidi kutoa chochote kwa sababu wanahitaji uhakika zaidi wa returns, so round zijazo za fund raising itakuwa ni ngumu kwa startups ambazo hazionjeshi dalili za kuwa na profit nzuri karibuni.
Naomba nieleze hapa kuwa startups kwa kawaida zinapata funds kwa rounds kadhaa so VC anakupa $10mil round ya kwanza unaenda kwenye market unakuza kampuni yako ukihitaji $ zaidi unarudi na kujaribu kupata round ya 2 ya funds etc. Ni hizi round zijazo ndo zinakuwa ngumu zaidi.
Pia naomba nieleze kuwa VCs kwa ujumla wanategemea % kubwa (50-70%) ya makampuni wanayofadhili kufeli na kutopata faida yoyote, lengo kubwa la VC funds ni kupata kampuni 1-2 zinazohit kweli so VC wanatafuta the next Facebook, the next Uber hawako interested kwenye kampuni ambazo total market yao ni ndogo in the end, kampuni inayotengeneza $ millioni kadhaa kwa mwaka kwao ni sawa na failure. Pia naamini kuna advantage za tax kwao baadhi ya kampuni kufeli ila silielewi vizuri hili.