Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

Wakuu habari za siku nyingi,

Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania.

Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo.

Mwaka huu nimefanikiwa kufanya saving ya 7.8 ml kwa vipato vyangu nivipatavyo. Jambo kubwa nililoamua kujitosa mwaka huu ni kutoa hela zangu UTT 60ml na kutupia hisa za CRDB, niliamua kufumba macho kama liwalo na liwe lakini kwa dalili yajayo yanafurahisha!

Yote kwa yote mungu mwema! Usiogope kujiwekea akiba kwani hatujui ya mbele na kazi hazina guarantee. Kama ilivyokawaida kipindi kama hichi huwa nafurahia kwa yote mungu aliyonijalia kuyafikia.

Asante
Hongera boss.....ngoja na sisi tujaribu kufanya saving.
 
Watu siku hizi wengi hawapigwi kirahisi. Ontario aliwafundisha watu kuwa makini.
Unajua vitu ulivyokoment au unarukia mtumbwi wa vibwengo. Kama hujui kitu tuliza ball Wacha watu wenye maarifa wachangie
 
Nitaongeza ila kwa kiasi kidogo si unajua ukijinyima kwa mda mrefu inabidi upumzishe mwili ili nguvu ya utafutaji iendelee kuwepo. Ukitafuta maisha usisahau kuishi
Kuna mimi ninaeishi bila kutafuta maisha. Mungu anisaidie🤣😂
 
Wakuu habari za siku nyingi,

Natumai ni wazima wa Afya Allah anazidi kutupigania.

Ni mwaka mwingine unaelekea ukingoni natumai tulijiwekea malengo na vipaumbele mbalimbali, sasa huu ndo Muda muafaka wa kufanya analysis kama yaliyomo yamo au hayamo.

Sijigambi kwa lolote or Chochote. Dunia ni yetu sote kila mtu anauwezo wa kumake ni swala la Muda tu kikubwa kutanguliza nidhamu japo Mimi hiyo nidhamu imeanza kupotea ukilinganisha na mwaka uliopita.

Mwaka huu nimefanikiwa kufanya saving ya 7.8 ml kwa vipato vyangu nivipatavyo. Jambo kubwa nililoamua kujitosa mwaka huu ni kutoa hela zangu UTT 60ml na kutupia hisa za CRDB, niliamua kufumba macho kama liwalo na liwe lakini kwa dalili yajayo yanafurahisha!

Nilijaribu betting kwa tamaa ya kupata hela ndefu, nikapigwa 2m kavukavu. Hapa nilijifunza tamaa mbaya na hakuna pesa ya rahisi

Yote kwa yote mungu mwema! Usiogope kujiwekea akiba kwani hatujui ya mbele na kazi hazina guarantee. Kama ilivyokawaida kipindi kama hichi huwa nafurahia kwa yote mungu aliyonijalia kuyafikia.

Asante
Hongera kaka kuna jamaa yangu alinambia alinunua hiza za CRDB za 45m mwaka jana au juzi sikumbuki ila zilikuwa Sh 450 sasa hivi ziko Sh 650 amepata ongezeko la 60% sasa hivi na 60m+ na akiwa keshakula 5m ya dividends
 
Duh
 
Back
Top Bottom