Mwaka wa majaribio magumu. Nimesave 7.8ml only UTT. Hisa za CRDB 60ml nilizonunua yajayo yanafurahisha! Mapambano makali sana

Hongera kaka kuna jamaa yangu alinambia alinunua hiza za CRDB za 45m mwaka jana au juzi sikumbuki ila zilikuwa Sh 450 sasa hivi ziko Sh 650 amepata ongezeko la 60% sasa hivi na 60m+ na akiwa keshakula 5m ya dividends
Mwaka Jana ilikuwa bei hiyo
 
Hongera kaka kuna jamaa yangu alinambia alinunua hiza za CRDB za 45m mwaka jana au juzi sikumbuki ila zilikuwa Sh 450 sasa hivi ziko Sh 650 amepata ongezeko la 60% sasa hivi na 60m+ na akiwa keshakula 5m ya dividends
Mwakani kuna kila dalili zitafika 850 divident itafika 73 au 75 p.share coz quarter 3 wamepata faida zaidi ya 45% ukilinganisha na mwaka jana
 
Dah kaka unatamanisha na kutusikitisha mwaka
Huu ilikuwa 50 per share
 
Back
Top Bottom