Mburia
JF-Expert Member
- Jul 15, 2022
- 2,369
- 3,488
Comment uchwara hii..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Comment uchwara hii..
Barabara tayari ila mamichoro yao ya kijinga juzi kidogo yanisababishie ajali kuna sehemu 3×3 halafu ghafla 2×2 na hakuna kinachoendelea na trafiki take advantage ya vibao vya 30km/h kupiga tochi, huu ni ujinga uliopitilizaWazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho.
Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
Hayo mapipa na mawe waliyoweka yanauwa watu kila siku ..bora wayatoe tu.Wazee wa kuupiga mwingi naombeni muwakumbushe wahusika kuwa barabara ya mbezi hadi kimara ambayo ilijengwa kwa kasi sana awamu iliyopita haijakamilika hadi leo. Inasikitisha mno mno mno mno kuona hata street lights tu hawajaweka ni giza mwanzo mwisho.
Tunaomba muwakumbushe wanaoupiga mwingi wakamilishe tu aisee miaka miwili yote nothing is being done kumaliza? Huenda barabara sio kipaumbele chenu ila tafadhali malizieni hii afu mkae tu mrelax tutashukuru, hata ile ya mwenge Morocco tunaweza panda migomba na mbogamboga katikati kuboresha lishe ambayo ni kipaumbele kwa sasa
Shida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.
World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
Mkuu mbona world bank walichomoa tangu mwanzo kabisa jiwe akaamua kuikimbiza mwenyewe na ilienda fasta hadi mwishoni kabisa haikusimama kiivyo labda miezi miwili mitatu tu then ikaendelea? Imagine sasa tunahesabu miaka..ni aibu. Na ile ya Morocco mwenge utasema nini kimefanya isimame? Pale katikati mvua ikinyesha ni madimbwi bodaboda wanahamia kuosha pikipiki zaoShida ya hii barabara ilikua msaada kutoka worldbank. Changamoto ikaja baada ya kesi ya watu kubomelewa makazi yao pasipo kufata sheria pamoja na fidia.
World bank wakajitoa hadi suluhu itakapofikiwa. Nasi kwa kiburi kikiongozwa na kiongozi wetu ikabidi tujenge kwa nguvu zetu kuunga unga. Matokeo ndio hadi leo unayaona, tuwe wavumilivu.
kamfufueaseeh angekuwepo anko njia ingekuwa inameremeta tu
Heb tupe mahusiano ya overpass na mapipa...Nachokifahamu CAG baada ya kutoa mapendekezo kua kituo cha magufuli pale mbezi mwisho kinasababisha foleni na ndio Tanroad wakaanza kujenga overpass mbili pale mbezi ili hayo mabasi wakati wa kuingia na kutoka magufuli terminal yasisababishe foleni,barabara ya kuingia magufuli terminal nayo imejengwa kwa njia nne ,Kigu kichobaki ni kufunga taa na kumalizia barabara za pembeni ambazo sasa sijui ni budget haikuwekwa au vipi...
Ila kwa kifupi ni kwamba kazi ya ujenzi wa overpass mbili na barabara ya kwenda kituo cha magufuli ndio imechelewsha mradi kuisha kWa wakati