Mwaka wa pili sasa barabara ya Mbezi-Kimara haijakamilika

Barabara tayari ila mamichoro yao ya kijinga juzi kidogo yanisababishie ajali kuna sehemu 3×3 halafu ghafla 2×2 na hakuna kinachoendelea na trafiki take advantage ya vibao vya 30km/h kupiga tochi, huu ni ujinga uliopitiliza
 
Hayo mapipa na mawe waliyoweka yanauwa watu kila siku ..bora wayatoe tu.
 

Mkuu mbona world bank walichomoa tangu mwanzo kabisa jiwe akaamua kuikimbiza mwenyewe na ilienda fasta hadi mwishoni kabisa haikusimama kiivyo labda miezi miwili mitatu tu then ikaendelea? Imagine sasa tunahesabu miaka..ni aibu. Na ile ya Morocco mwenge utasema nini kimefanya isimame? Pale katikati mvua ikinyesha ni madimbwi bodaboda wanahamia kuosha pikipiki zao
 
Tujengewe vibanda tujikinge kwa mvua na jua kali.Watoto madaftari yanalowa kwa mvua.
 
Tujengewe vibanda tujikinge kwa mvua na jua kali.Watoto madaftari yanalowa kwa mvua.
Wapi mkuu,au unamaanisha stendi ya mbezi ya daladala?
 
Nachokifahamu CAG baada ya kutoa mapendekezo kua kituo cha magufuli pale mbezi mwisho kinasababisha foleni na ndio Tanroad wakaanza kujenga overpass mbili pale mbezi ili hayo mabasi wakati wa kuingia na kutoka magufuli terminal yasisababishe foleni,barabara ya kuingia magufuli terminal nayo imejengwa kwa njia nne ,Kigu kichobaki ni kufunga taa na kumalizia barabara za pembeni ambazo sasa sijui ni budget haikuwekwa au vipi...

Ila kwa kifupi ni kwamba kazi ya ujenzi wa overpass mbili na barabara ya kwenda kituo cha magufuli ndio imechelewsha mradi kuisha kWa wakati
 
Heb tupe mahusiano ya overpass na mapipa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…