Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.
Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena.
Kwani jamii hiyo ya watu wasiojulikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?
Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa.
Pia soma
~ Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia
- Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana