Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

Daah! Hiv kumbukizi ya mfadhili wao kumbe ni jana! Duuh naona hata juhudi siku hiz haziungwi tena! Au ni kwa sbb waungaji hawapo tena kama wasiojulikana?
 
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.

Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIYOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena .

Kwani jamii hiyo ya watu wasiyo julikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?

Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa .

Mmawia
Sikiliza hiyo clip,akili itakukaa sawa!

Wewe unawaza Chadema na vita dhidi ya kaburi lililoko Chato!
Kila mnapopitia machungu ya kukaa kijiweni,mnakuja na utumbo mpya humu JF.

Mmawia huna lolote ulijualo nchi hii,hivyo ngoja tukupe taarifa wewe na wa ufipa wenzio.
 
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.

Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIYOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena .

Kwani jamii hiyo ya watu wasiyo julikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?

Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa .
Na wala hatujasikia kabisa zile kauli za Koti la Muungano limetubana!
 
Huwezi kusikia kwa sababu unafikiri kila wakati watu ni wanasiasa tu...kuna wazazi kila mara wanafuatilia vijana walichukuliwa na watu ambao hawajajulikana mpaka leo hawajulikani wako wapi
 
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.

Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIYOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena .

Kwani jamii hiyo ya watu wasiyo julikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?

Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa .

Sponsor hayupo
 
Kama umeamua kuwa kiziwi,huwezi kuwasikia,

Kada NCCR-Mageuzi aliyepotea aokotwa porini akiwa taabani, hajitambua

Ukining'iniza pua yako kwenye mambo ya watu haijalishi ni awamu ipi utapotea tu na hii ni Dunia nzima
Haijanishawishi
 
Back
Top Bottom