Mwaka wa pili sijawasikia watu wasiojulikana

Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.

Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIYOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena .

Kwani jamii hiyo ya watu wasiyo julikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?

Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa .
Tunashukuru Rais Samia amewafubaza nguvu ila wapo.
 
Watanzania wenzangu haya ni maajabu na kweli maana naona kama nipo ndotoni.

Zinakaribia siku kama 700 hivi lile neno WASIYOJULIKANA nimelisahau kabisa maana halisikiki tena .

Kwani jamii hiyo ya watu wasiyo julikana walikuwa wanatokea kwenye taifa gani hapa barani Afrika?

Naomba mwenye uelewa wa wapi lilipotoka hilo kundi na wapi lilipo kwa sasa .
Mwaka wa tatu sasa sijasikia samia kanunua hata ndege ya pangaboi wala sijaona hata barabara moja mpya iliyojengwa dar hata kilometa 1
 
Ndege zinanunuliwa kwa kodi za wananchi wala usijidanganye kuwa Jiwe alinunua ndege.
 
Hiyo ndiyo ilikuwa sababu ya Jiwe kuua, kupora, kutesa, kuteka na kudhulimu watu?
Hao wengine unaweza kuwaanzishia threads na tutachangia pia.
Kwanini Jiwe alikuwa muuaji kiasi kile?
Rais gani aliyepita hajawahi kuua?na kwanini wanaua?
 
Back
Top Bottom