Mwaka wa Tabu waanza Manchester United , Yatandikwa EUROPA LEAGUE .

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani.

Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79 lililowekwa kimiani na Vilhena .

Kama masihara vile , mlango ulifunguliwa na Man City , sasa hata vibonde wanajipigia tu !

Wazaramo wana msemo wao maarufu wa " ACHOLILE KACHORA "

Vipigo ndio vimeanza sasa .
 
na itaendelea kuchezea kichapo..YANGA ni nzuri kuliko MU
 
[emoji417] Documents
└[emoji416] manutd
└[emoji416] Players
└[emoji416] Paul Pogba
└[emoji416] Goals or assists
└ [emoji416][emoji615] This folder is empty [emoji615]
 
Mou alishasema hiyo ligi sio priority yao!!! Mimi naamini kabisa mou ni kocha bora baafa SAF! Mbona barca alifungwa...what about arsenal? Na man vity mbona walifungwa? Bado mapema sana kum judge...binafsi nampongeza sana kwa mabadiko aliyoyaleta pale OT...msikate tamaa mapema...bado weekend tuna mechi ya ligi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…