Azim Sokoine
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 1,443
- 2,643
si ajabu pogba january akapelekwa kwa mkopo juve
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wiki ijayo .Arsen Wenger anafukuzwa lini?
Hili siyo garasa la kwanza kuja Man U , unamkumbuka yule manywele mengi wa monaco ?si ajabu pogba january akapelekwa kwa mkopo juve
Weee ! Kumbe ndio maana Man U wamekusudia kukata rufaa !View attachment 401529 ilikuwa ni offside kumbe
Hii picha inaleta uchungu sana .[emoji2] View attachment 401142
Vipi bado unaamini maneno yako ?mechi mbili umefungua thread hatar!!!! ligi zimechezwa mechi nne kapoteza moja vipi liverpool na aseno?
Tunarudia kusisitiza kwamba hali si nzuri .Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani.
Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79 lililowekwa kimiani na Vilhena .
Kama masihara vile , mlango ulifunguliwa na Man City , sasa hata vibonde wanajipigia tu !
Wazaramo wana msemo wao maarufu wa " ACHOLILE KACHORA "
Vipigo ndio vimeanza sasa .
Morinho kama walivyo wanadamu wengine amechoka na amefikia kikomo chake , chelsea alitimuliwa kihalali kabisa , na mtamkumbuka Van Gaal .Wanitesa united...mwaka huu mtashinda mechi za league cup tu...!
Vipi bado unaamini maneno yako ?
Unaambiwa bado kuna mechi 33 .unafungwa mechi tatu mfululizo Kati ya mechi sita wewe bado ujaanza kujiuliza?