Mwaka wa Tabu waanza Manchester United , Yatandikwa EUROPA LEAGUE .

Mwaka wa Tabu waanza Manchester United , Yatandikwa EUROPA LEAGUE .

1474038630865.jpg
ilikuwa ni offside kumbe
 
Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani.

Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79 lililowekwa kimiani na Vilhena .

Kama masihara vile , mlango ulifunguliwa na Man City , sasa hata vibonde wanajipigia tu !

Wazaramo wana msemo wao maarufu wa " ACHOLILE KACHORA "

Vipigo ndio vimeanza sasa .
Tunarudia kusisitiza kwamba hali si nzuri .
 
Uzuri wa mashabiki na uongozi wa Manchester United wana uvumilivu wa kutosha kwa walimu wao sio kama kwa Chelsea Mourinho angeanza kupigwa presha presha mpk angeondoka.
 
Sasa bingwa akipatikana kwa kufungwa mechi nne unadhani Man United wanaweza kua mabingwa wa EPL?
 
Back
Top Bottom