Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kama tulivyo tabiri tangu Morinho anakabidhiwa timu , mambo si mambo kwa timu hii yenye mchezaji wa bei mbaya zaidi duniani.
Imechapwa na Timu uchwara ya FEYENOORD kwa bao safi la dk 79 lililowekwa kimiani na Vilhena .
Kama masihara vile , mlango ulifunguliwa na Man City , sasa hata vibonde wanajipigia tu !
Wazaramo wana msemo wao maarufu wa " ACHOLILE KACHORA "
Vipigo ndio vimeanza sasa .